Chonde, chonde! Huenda hili ni onyo la mwisho kwako!

Mtumishi gani huyu anajua hadi mambo ya nyeto!
Sikuzaliwa mtakatifu. Mimi pia nilikuwa mwenye dhambi, lakini baada ya kuisikia Injili, nilipiga magoti nikatubu na Mungu akanisamehe uovu wote.
Tit 3:3-5
Maana hapo zamani sisi nasi tulikuwa hatuna akili, tulikuwa waasi, tumedanganywa, huku tukitumikia tamaa na anasa za namna nyingi, tukiishi katika uovu na husuda, tukichukiza na kuchukiana. Lakini wema wake Mwokozi wetu Mungu, na upendo wake kwa wanadamu, ulipofunuliwa, alituokoa; si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyoyatenda sisi; bali kwa rehema yake, kwa kuoshwa kwa kuzaliwa kwa pili na kufanywa upya na Roho Mtakatifu.
 
Wow
 
Mjomba huyu ndugu ana ugomvi na wewe. Ameweka hapo kwenye sheria yake namba 1!
Mtumishi gani huyu anajua hadi mambo ya nyeto! 😱
Huyo nae n mpigaji nyeto, kwanza Cjawah kuona kwenye Biblia ikisema tusipige nyeto, sasa huyu ametoa wap
 
Kwa hiyo hapo ulipo unajisifu hadharani huna dhambi! Wala sishangai. Nyinyi unafiki ni kipaji chenu kikuu.
 
kuna machokoraa hapa haeatakuelewa! Hasahasa huyu mwenyekiti wao Mbaga Jr anahamasisha sana hii dhambi huku jamvini!
Sasa ww leo n zamu yako kukupigia nyeto nikiwa church, ukihisi kulowana tuu ujue tyr nshakimwaga huko 😎
 
Hivi wewe bado hujaolewa hadi leo?
 

Soma post #8 Nimemjibu aliyeuliza swali kama hilo. Kama utakuwa na swali baada ya kusoma post hiyo, please come back
Dadangu hapo kwenye nyeto pia ni dhambi?
Hujui kama nyeto inasaidia kupunguza kesi za ubakaji?
Imagine mtu hajaoa na hataki kufanya zinaa na mwanamke kwa kuogopa maradhi na kulinda kibunda chake anaamua kujichukulia Sheria mkononi (kunyetuka) ukisema hiyo pia asipige ataishije yaani hizo mbegu atunze mpaka augue tezi dume?
 
Kila baba anawajua watoto wake, watoto wa MUNGU wanamjua baba yao na watoto wa shetani wanamjua baba yako kuwafanya watu wamkatae baba yao inahitajika nguvu kubwa.
umenibariki sana, barikiwa.
 
Ahsante mama mchungaji kwa Somo, Nimeelewa.
Barikiwa sana 🙏
 
hivi, nikiibiwa mali zangu na mwizi nikamkamata, nikimpeleka mahakamani nimelipiza kisasi? nikimpeleka polisi bazazi aliyenibakia mwanangu, je, nimelipiza kisasi? nikiwa mkuu wa nchi, jirani akataka kujinyakulia eneo langu kinguvu, je, nikimtwanga nimelipiza kisasi?

nikikabwa usiku na vibaka ambao wanasifika kwa uhalifu, asubuhi nikiripoti polisi na wakawekwa ndani, je, nimelipiza kisasi? rafiki yangu akifunga ndoa kimya kimya na kutonipa mualiko, akawapa wengine, ikaja zamu yangu nami nikafunga harusi na kuomualika, je, nimelipiza kisasi??? nijibu.
 
Huoni mambo anayoandika, angekuwa ana mtu wa kumshughulikia vizuri angeandika upupu wake hapa?
Duh, Injili unaiita upupu? Mungu akusamehe bure maana hujui uyasemayo
1 Wakorintho 1:18-31
Kwa maana ujumbe wa msalaba kwa wale wanaopotea ni upuzi, lakini kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa maana imeandikwa: “Nitaiharibu hekima ya wenye hekima, na kubatilisha akili ya wenye akili.” Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi msomi? Yuko wapi mwanafalsafa wa nyakati hizi? Je, Mungu hakufanya hekima ya ulimwengu huu kuwa upumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…