Umenifurahisha sana๐God is good๐mimi na mambo ya duniani bye ๐
Najiulizaga nikifa muda huu ntaenda wapi nikiwaza sijatubu nachoka mimi๐ช๐๐ธUmenifurahisha sana๐
Hakika
Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele (1 Yoh 2:15-17)
Ooh jamani. Mimi ulivyoandika kwamba "God is good๐mimi na mambo ya duniani bye" nikafikiri tayari umetubu.Najiulizaga nikifa muda huu ntaenda wapi nikiwaza sijatubu nachoka mimi๐ช๐๐ธ
Msalimie mchungaji wakoWagalatia 6:7-8
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna. Apandaye kwa mwili, katika mwili wake atavuna uharibifu...
Nakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana
1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto'
2. Acha ulevi
3. Usiibe tena
4. Usirudie kusema uongo
5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipiza kisasi
6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako
7. Acha dharau, waheshimu wanaostahili heshima
TUBU! GEUKA! ACHA DHAMBI ZAKO NA UMRUDIE MUN
Kuna uzinzi wa kimwili na wa kiroho. Kwahiyo inawezekana kabisa mtu akawa mzinzi na muasherati.Mtu mmoja anawezaje kuwa mzinzi na muasherati wakati mmoja!
Sijisifu, na wala sio unafiki. Nimeeleza ukweli tu. Ukitubu na kuokoka, dhambi zako zote zinafutwa na unahesabika mtakatifu.Kwa hiyo hapo ulipo unajisifu hadharani huna dhambi! Wala sishangai. Nyinyi unafiki ni kipaji chenu kikuu.
Soma post #20 nimeeleza kwa kina kwanini kupiga nyeto ni dhambi. Nikafafanua tena katika post #57.Dadangu hapo kwenye nyeto pia ni dhambi?
Maandiko yanasema asiyeweza kujizuia na aoe. Heri kuoa kuliko kuwaka tamaa (1 Wakorintho 7:9.)Hujui kama nyeto inasaidia kupunguza kesi za ubakaji?
Ww nae umeniandama knoma em nishusheWaefeso 5:3
Lakini uasherati usitajwe miongoni mwenu kamwe, wala uchafu wa aina yoyote, wala tamaa...
Ukimpeleka mwizi mahakamani, unaruhusu mfumo wa sheria wa nchi yako kuamua adhabu yake kulingana na sheria zilizopo. Ila ukijichukulia sheria mkononi kwa kumpiga au kumwibia na yeye, utakuwa umelipa kisasi. Hata hivyo mwizi akikuomba radhi na kurudisha mali zako, itapendeza zaidi ukimsamehe.hivi, nikiibiwa mali zangu na mwizi nikamkamata, nikimpeleka mahakamani nimelipiza kisasi?
Hili swali linafanana na swali lako la kwanza ambalo tayari nimelitolea jibunikimpeleka polisi bazazi aliyenibakia mwanangu, je, nimelipiza kisasi?
Ukiwa kiongozi wa nchi, una wajibu wa kikatiba wa kulinda ardhi na usalama wa raia wako. Jirani anapotumia nguvu kujimegea eneo, jeshi lako linapomkabili linatekeleza ulinzi wa halali kuzuia uvamizi chini ya sheria za kimataifa. Hata hivyo unaposema 'kumtwanga' sijui unamaanisha nini, maana jirani ina-include kiongozi wa hiyo nchi jirani, jeshi lake na raia wake. Utawatwanga hata watoto na kinamama ambao hawajahusika kufanya maamuzi ya kujinyakulia eneo lako?nikiwa mkuu wa nchi, jirani akataka kujinyakulia eneo langu kinguvu, je, nikimtwanga nimelipiza kisasi?
Hili swali linafanana na swali la kwanza ambalo tayari nimelitolea jibunikikabwa usiku na vibaka ambao wanasifika kwa uhalifu, asubuhi nikiripoti polisi na wakawekwa ndani, je, nimelipiza kisasi?
Hiyo ni kisasi, mkuu. Ni tit for tat au jino kwa jino.rafiki yangu akifunga ndoa kimya kimya na kutonipa mualiko, akawapa wengine, ikaja zamu yangu nami nikafunga harusi na kuomualika, je, nimelipiza kisasi??? nijibu.
Mkuu, hebu nikumbushe: tuliondoka lini kwenye sheria?Ahahaha ๐ ๐ ๐ ๐
Kwahiyo tumerudi tena kwenye Sheria.
Usifanye hiki
Usifanye kile
Usifanye hili