Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
No, Dr Tulia Ph.D yake ni ya academic excellent, alipiga GPA ya 4.4 pale UDSM, na kuajiriwa kuwa Tutorial Assistant, sisi ndio wanafunzi wake wa kwanza.Unaweza kuta na wewe una Phd kama ya Tulia.
Kuwa mwalimu wako sio sababu ya kumtetea wakati ni mtu dhaifu ambaye hawezi kusimamia katiba ya JMT.No, Dr Tulia Ph.D yake ni ya academic excellent, alipiga GPA ya 4.4 pale UDSM, na kuajiriwa kuwa Tutorial Assistant, sisi ndio wanafunzi wake wa kwanza.
P
Umenena sahihi kabisa!!Na hapo ndipo ngoz nyeus tunapofeli kuamini kuwa eti viongozi wanaletwa na Mungu..mbona mnamsingizia Mungu kwa mambo ya ajabu hata hamuoni aibu...umefanya ngono zembe umepata ukimwi unakufa .."mapenz ya Mungu"..unaendesha gar unachat unapata ajal unakufa " mapenz ya Mungu"..uongoz mbaya watu wanakufa kama rwanda " mapenz ya Mungu....
Mungu alishamaliza kaz yake dunian baada ya Uumbaj na kutupa kiila kitu ..yanayoendelea ni creation zetu sis wanadamu na ndomana kuna free will...
Achen kupotosha watu ....na hii ndio ilifanya mzungu atawale africa kwa maneno kama hayo..et viongoz wanaletwa na Mungu....mkoloni alikua akikosewa anatoa adhabu halaf anasema kaambiwa na Mungu unapewa bible unasoma samehe 7ร70 game over...
Ndivyo walivyo. Hivi kwani ameolewa kweli?Chondechonde yule hafai bora hata ndugai.
Ana mfumo jike hyuoooo
Majitu yaliyojaa ukabilaMbeya kwa muda mrefu hatujawah kuwa na kiongozi mkuu Kati ya mihimili mitatu ya nchi it's our time go Tulia
Tatizo sio Tulia tatizo ni katiba angalia bunge la South utalewe hapa kwetu bila katiba inayoendana na wakati utalaumu kila mtu lakini ukweli tatizo ni katibaTunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na kudhibiti serikali kuu kisa tu mkuu wa serikali ni amiri jeshi mkuu. Mathalani ukitokea ufisadi wa kutisha kama wa Rischmond je? Aone staha?
Wekeni ushabiki wa siasa kando na msichague spika kama huyu.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi, hivyo akaruhusu aondolewe, hivyo Spika ajaye tayari Mungu ameisha mpangia, na sisi baadhi yenu ni watu wa Mungu, tumeisha ambiwa Spika mpya ni Dr. Tulia!.
Tembelea hapa uangalie hili tuliambiwa lini!
PVoices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
ANAYETAFUNWA NII MBOWE KULE JELAMmeanza kutafunana? Na bado. Laana itawatwanga hadi masikio yavimbe Kama nyungo.
We jamaa ni mkubwa kiumri lakin akili zako bado za chekechea....
Oohooo, yaani mkeo akichapwa nje unatakiwa mmalizane ndani?Kivipi , unamtukana mtu tu. Umesoma ile link aliyoiweka? Jifunze kuacha matatizo yako ya nyumbani. Nyie ndo wenye Wake wanawasaliti kila siku mnawaogopa mnakimbilia kuwaonya wanaume wanaochepuka na mkeo , wakati mkeo uko Naye ndani.
Hivi ili gazeti bado lipo..????
Yes Chief, and siku hizi ule ujinga wao hawaandiki tenaHivi ili gazeti bado lipo..????
Wabunge sio Halali, yaani tangu 2020 kila kitu ni haramu ndo maana hawafanikiwiTunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na kudhibiti serikali kuu kisa tu mkuu wa serikali ni amiri jeshi mkuu. Mathalani ukitokea ufisadi wa kutisha kama wa Rischmond je? Aone staha?
Wekeni ushabiki wa siasa kando na msichague spika kama huyu.
Kaka yangu Paschal Mayalla unataka kusema hata baadhi ya wabunge waliobebwa na kupita bila kupigwa nao wamelettwa na Mungu?Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi, hivyo akaruhusu aondolewe, hivyo Spika ajaye tayari Mungu ameisha mpangia, na sisi baadhi yenu ni watu wa Mungu, tumeisha ambiwa Spika mpya ni Dr. Tulia!.