No, Dr Tulia Ph.D yake ni ya academic excellent, alipiga GPA ya 4.4 pale UDSM, na kuajiriwa kuwa Tutorial Assistant, sisi ndio wanafunzi wake wa kwanza.
P

Na hapo ndipo ngoz nyeus tunapofeli kuamini kuwa eti viongozi wanaletwa na Mungu..mbona mnamsingizia Mungu kwa mambo ya ajabu hata hamuoni aibu...umefanya ngono zembe umepata ukimwi unakufa .."mapenz ya Mungu"..unaendesha gar unachat unapata ajal unakufa " mapenz ya Mungu"..uongoz mbaya watu wanakufa kama rwanda " mapenz ya Mungu....
Mungu alishamaliza kaz yake dunian baada ya Uumbaj na kutupa kiila kitu ..yanayoendelea ni creation zetu sis wanadamu na ndomana kuna free will...
Achen kupotosha watu ....na hii ndio ilifanya mzungu atawale africa kwa maneno kama hayo..et viongoz wanaletwa na Mungu....mkoloni alikua akikosewa anatoa adhabu halaf anasema kaambiwa na Mungu unapewa bible unasoma samehe 7×70 game over...
Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na kudhibiti serikali kuu kisa tu mkuu wa serikali ni amiri jeshi mkuu. Mathalani ukitokea ufisadi wa kutisha kama wa Rischmond je? Aone staha?
Wekeni ushabiki wa siasa kando na msichague spika kama huyu.
Tatizo sio Tulia tatizo ni katiba angalia bunge la South utalewe hapa kwetu bila katiba inayoendana na wakati utalaumu kila mtu lakini ukweli tatizo ni katiba
Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi, hivyo akaruhusu aondolewe, hivyo Spika ajaye tayari Mungu ameisha mpangia, na sisi baadhi yenu ni watu wa Mungu, tumeisha ambiwa Spika mpya ni Dr. Tulia!.
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...
🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa vile ulitabiri Jiwe atakuwa rais na akawa,basi acha niamini.
Lakini kumbuka imani hupimwa,itakapopimwa utatafuta pa kutokea.
Yona alitabiri Ninawi itaangamizwa,lakini Mungu aliahirisha baada ya Ninawi kuomboleza.
Kivipi , unamtukana mtu tu. Umesoma ile link aliyoiweka? Jifunze kuacha matatizo yako ya nyumbani. Nyie ndo wenye Wake wanawasaliti kila siku mnawaogopa mnakimbilia kuwaonya wanaume wanaochepuka na mkeo , wakati mkeo uko Naye ndani.

Kwa nani alimleta Tulia bungeni?? Na kwa kuwa wafuasi wa Jiwe mnaamini hakuna mabadiliko ya serikali baada ya kifo Cha Magufuli na tunaamini yupo na anaona yanayoendelea Tanzania,basi Tulia ni Spika.
Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na kudhibiti serikali kuu kisa tu mkuu wa serikali ni amiri jeshi mkuu. Mathalani ukitokea ufisadi wa kutisha kama wa Rischmond je? Aone staha?
Wekeni ushabiki wa siasa kando na msichague spika kama huyu.
Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi, hivyo akaruhusu aondolewe, hivyo Spika ajaye tayari Mungu ameisha mpangia, na sisi baadhi yenu ni watu wa Mungu, tumeisha ambiwa Spika mpya ni Dr. Tulia!.
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.