Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

Labda Ndugai na Palamagamba kwa kuwa wanatokea katikati ya Nchi

Hayati Iddy Simba aliwahi kuzushiwa Mrundi na mashhidi wa Uongo wakataja hadi nyumba aliyozaliwa Bujumbura wakati ni mzaliwa wa Kigamboni
Inadaiwa Tundu Lisu babu zake umamani wako Ethiopia
 
Tunajua kelele zinapigwa kwa sababu hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
 
Benard Membe alisema vetting haikufanyika vizuri kuwa mtu wa asili ya nje Magufuli akapewa uraisi yeye mbona asili yake Msumbiji mbona alipitishwa kugombea uraisi na alipewa vyeo kibao usalama wa taifa?
Mimi labda nilisikia vibaya,"Kama Kuna mtu alikuwa na cheti cha mirembe halafu akapewa nafasi kubwa kabisa katika nchi"🤔
 
Kwa hili ni sahihi tuache kyongea yasiyo ya msing. Watanzania tunata kusikia na kusoma mikakati ya kujenga nchi kutoka aidha chama chenye dhamana au chama cha upinzani tuamue nani anafaa kupewa ridhaa siyo tukalie siasa mufisilisi zisizo na tija
 
Lakini mbowe na zitto hawajawahi kutumia rasilimali za nchi kwa ajili ya kwenda kusalimia wajomba zao na ikulu kupiga piga na kututangazia, pia hawajawahi kuwafurusha watanzania kwenye maeneo yao kwa ajili ya kuwagawia wajomba zao sehemu ya tanzania
Mbowe gari ya bunge akiwa kiongozi mkuu wa upinzani bungeni ilikamatwa na polisi Mombasa alikoenda kusalimia ndugu zake
 
Mnaosakama Magufuli kuwa ana ndugu zake Burundi na kuwa ni mrundi mumesikia? Benard Membe umesikia? Huna nduguzo Msumbiji? Unajitia mtanzania mzalendo wakati na wewe kwenu asili yenu Msumbiji
Endelea kupigania Maji Usagara, acha kuabudu magufuli
 


Acha porojo. Uraia unapatikana kwaa kuzaliwa. Mtu aliyezaliwa Tanzania and you kuwa Rais wa Tanzania. Swali langu kwako Mbowe kazaliwa wapi?
 
Mambo madogo madogo mnataka kuyakuza kisiasa sifa ya rais ni kuwa mtanzania wa kuzaliwa ata kama ndugu zake Co wtzania muacheni mm afanye kazi mkapa katawala miaka kumi lakini asili yake msumbiji mbona amkupiga makelele, mwendazake mlisema Ana asili ya burundi mbona amkupiga kelele muacheni mm kuwa na ndugu nje Co dhambi

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Wagogo ni wabantu na hakuna mbatu mwenye asili ya Tanzania.Watu wenye asili ya hapa ni Hadzabe Bushmen,mbuti pygmies ,Sandawe nk.
 
Kweli ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi,yaani Chongolo bichwa lote lile akili ya sisimizi.
 
Mnaosakama Magufuli kuwa ana ndugu zake Burundi na jamaa zake hivyo mrundi mumesikia? Benard Membe umesikia? Huna nduguzo Msumbiji? Kwa hiyo na wewe tukuite mmakua wa Msumbiji. Huo uzalendo wa Tanzania umetoa wapi wakati wewe asili yako Msumbiji?
Tatizo Jiwe wenu aliendelea kuwa na roho ya kihutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…