Chongolo uwe na amani, uchunguzi utafanyika na utatendewa haki. Chama kitaonesha ukubwa wake

Chongolo ni mwana JamiiForums? Je hizi nyuzi zako zinamfikia?
 
Wakati unamtetea Komredi Chongolo, naomba nikutaarifu tu kuwa huku chini, yaani mashinani, matawini, katani, wilayani na mikoani ni mwezi wa nne Sasa hawana mgao kutoka Makao Makuu. Na yeye ndio alikuwa Mtendaji Mkuu wa Chama. Nakupa tu taarifa lakini.
 
Narudi zangu Kilosa nikifurahi kuilinda nafasi ya Katibu Mkuu kwa ajaye au atakaporejeshwa huyu.

Gekul, yalikuwa ndiyo madaraka ya kulevya?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kuelekea Kilosa, Morogoro)
Kwamba anaweza rudishiwa nafasi yake?

Issue ya gekul nami nilihisi ni igizo, KM alikuwa anatafutiwa pa kwenda Kwa lazima!!

Tusubiri.
 
Chongolo humjui wewe Babu!!! Tulia tulii usijeharibu kijiheshima chako!!!

Ugomvi wako binafsi na Makonda baki nao moyoni mwako!
 
Wapinzani msiingie kwenye mtego huu.
Wapuuzeni wote wanaonyemelea kujiunga na ninyi kutokea ccm kuelekea uchaguz 2024 na 2025.
 
CCM ni catel ya majizi, masqueradering as politicians, hiki chama,niliwahi kusema huko nyuma hqkina tofauti na interahamwe, chama cha Juvenal habyarimana, wao wanajari maslahi Yao tu,, ukienda kinyume nao,haijarishi wewe ni nani,watakula kichwa tu! Vile vile CCM, ni wanobezi wa 'art of deception"mbinu moja hatari ya kijasusi, wanafanya jambo moja, kumbe kuna lingine, linapangwa nyuma ya pazia,
Chongolo ana "jiuzuru" Kumbe wanataka wamfsnye waziri mkuu! Just read btn the lines,
CCM wapo tayari kufanya kazi hata na shetsni, ili mradi, maslahi Yao yanalindwa.
 
Hakika
 
Hiyo barua si yake .. Cde Chongolo, kwa vigezo vyote ..
 
Ungetupa na muhtasari wa tuhuma zake mkuu.Au ukiwa kwenye chombo cha usafiri huwezi kutudokeza?
 
Kina Mwigulu Nchemba ndo walioratibu hili.Ukiona mtu anatukanwa na Kigogo 2014 basi jua hapo kuna mkono wa Mwigulu Nchemba.
Ndio kusema kwamba Mwigulu anamjua kigogo
 
Kila mtu anasema uchunguzi uchunguzi, je uchunguzi juu ya nini? Mambo gani amefanya hadi kupelekea kujiuzuru?
 
Vile vile CCM, ni wanobezi wa 'art of deception"mbinu moja hatari ya kijasusi, wanafanya jambo moja, kumbe kuna lingine, linapangwa nyuma ya pazia,
Chongolo ana "jiuzuru" Kumbe wanataka wamfsnye waziri mkuu! Just read btn the lines,
Edit hapo, "wamfsnye", ni wamfinye au wamfanye?
 
Andiko lako ni la kufikilisha,limejaa nyama za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…