Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

We rudi tu huko kijijini kwenu hayo waachie watu wa mjini
 
Aloo kuna siku nikatumia iki choo ilikuwa i lazima maana hakukuwa na mbadala sasa iko kidude nikakitumia sikujuwa presha yake nikajupinda nijitawaze aloo neminya tu nusu nichane marinda ile presha yake ni kali mtu akikunyooshea anaweza toboa ngozi dk tangia apo sikukitumia tena
 
Sikukiona
 
Vyoo vya kukaa viligunduliwa hasa kwa ajili ya wazee na wagonjwa. Bahati mbaya vikapendwa na watu na matumizi yake yakaenea katika nchi za Kimagharibi hata kwa watu ambao hawakuwa kusudio lake la tangu awali.

Kuna tafiti za muda mrefu zimeonyesha uhusiano wa matumizi ya vyoo hivi na mfumuko wa kansa ya utumbo na ile ya nyuma. Wanasema kwamba mwili wa binadamu uliumbwa kutoa uchafu mtu akiwa amechuchumaa na siyo akiwa amekaa. Kwenye vyoo hivi vya kukaa uchafu hautoki wote na hicho kinachobakia kinaharibu mazingira na mwingiliano wa bakteria wanaofanya kazi tumboni. Na hii inasababisha matatizo mengi yakiwemo kansa, unene na shida nyingine kibao.

Vyoo vya kukaa pia havifai kwa matumizi ya umma na hata vinapotumiwa nyumbani basi visafishwe vizuri na kuwa sanitized angalau mara moja kwa wiki.

Havifai!
 
Kama ni binadamu unakula chakula na ukiwa na faya njema huwezi kushinda siku 3 bila kunyandua mzigo...any way...

Ila hivyo vyoo vinakuchamba vyenyewe tu ukipresa yanakuja maji ya presha na kuondoka na mzigo wote uliogandia kwny vinyweleo
 
Alafu inakuwaje mtu mzima ujaacha tu kwenda chooni kuny* kuny* Grow up kuny* waachie watoto
 
Mhhh! Miaka hiyo ya 90 nikiwa na wazazi wangu wapo hai huko Kilosa Morogoro kulikuwa na choo cha familia cha hivi, binafsi nilikuwa napanda juu yake na kuchuchumaa.
Ukweli vinaleta kinyaa kukaa.
Nilisikia vinavunjia na vinakukuta mapaja na makalio, usifanye tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…