Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
We msikilize kwanza pia **** issue ya meli kuchelewa sana zikiwa nje ya bandari na kuchukua mda mrefu sana!una hakika
Fungua video kwanza, yan wabongo tuna tabu sana!Kwamba miambili ndio itawakimbizia Mombasa au?
Hoja iwe kwa nini bei yetu iko juu mara mbili zaidi kuliko Mombasa? Competitiveness yetu iko wapi?
Hajali wala nini, kwani yeye yana muhusu haya? Maisha yakipanda, bandari inahujumiwa hana habari Mtajua wenyewe sisi tunawaza uchaguzi 2025 tunapitaje na wiki ijayo twende nchi gani.Mama akitaka aharibu kweli kweli aruhusu huu uzembe uendelee hapo bandarini, anachosema Lukosi ndio uhalisia sasa hivi tunachajiwa hiyo waiting charge ni balaa tupu.
Kariakoo Watu wanalia gharama za usafiri zimeongezeka sana na ni kwa Dar port tu
pale kuna poor port performance kutokana na ufinyu wa eneo basi wanarundika mizigo basi wanachaji gharama juu ila sorry nataka kujua izi ghrama ni za mda sana auWe msikilize kwanza pia **** issue ya meli kuchelewa sana zikiwa nje ya bandari na kuchukua mda mrefu sana!
Juzi kasema anataka kuleta mbia ili kuiendesha bandari! Inamaana inaonekana hata yeye anajua kabisa kuwa serkali yake haiwezi kufanya kazi hiyo kwa ufanisi wakati juzi tu hapa wamesema wamepanua bandari na kuongeza gati!
Chawa wajengewe mkataba kwakweli maana si kwa kuupiga mwingi namna hii kutuchelewesha kufika kwenye nchi ya asali na maziwa kuliko ufisadi, ujinga, maradhi na umaskini [emoji4]Fungua video kwanza, yan wabongo tuna tabu sana!
16 comment is where your answer is.Daa ila hapa kuna jambo hapo naona Watu wanasifia tu kila kitu! Kwa kweli serkali ifanyie kazi malalamiko haya Aese!
Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
Hata dizeli zambia, Malawi Ipo chini kuliko TzaKwamba miambili ndio itawakimbizia Mombasa au?
Hoja iwe kwa nini bei yetu iko juu mara mbili zaidi kuliko Mombasa? Competitiveness yetu iko wapi?