Chris Lukosi: Gharama za kusafirisha kontena kwenda Bandari ya Dar es Salaam zimepanda sana

Chris Lukosi: Gharama za kusafirisha kontena kwenda Bandari ya Dar es Salaam zimepanda sana

pale kuna poor port performance kutokana na ufinyu wa eneo basi wanarundika mizigo basi wanachaji gharama juu ila sorry nataka kujua izi ghrama ni za mda sana au
We taasisi watu paperwork wanataka zifanyike manually hawatiki mambo yawe computerised unategemea nini? Pana mambo ya kipumbavu kwelikweli pale. Mtu ukiwa na ndugu yako pale ujue ni sehemu ya wapumbavu.
 
Kuna muda TICTS wanakuwa na meli nyingi na kusababisha foleni ya kusubiri ingawa wanatumia vifaa vya kisasa na Wapo Committed.

Hapa ishu Kubwa Ili kuondoa Tatizo hili ni 1.Reallocation of Berth
Meli hazina haja ya kusubiri berth upande wa TICTS Hata kama Wana contract, kuwe na makubaliano Kati ya TICTS na TPA kuhudumia meli ambazo zipo outer anchorage kupunguza muda wa kukaa kusubiri nafasi.

2. TPA kununua vifaa vya kisasa vya kushusha Container Kwa haraka.
Kwa Sasa TPA kwenye terminal zao za kushusha Container wanatumia Mobile Harbour Crane (Gottward) ambayo speed yake ya kushusha au kupakia container ukilinganisha na Kutumia Ship to Shore Gantry Crane (SSG) ni ndogo sana.

TICTS wao wanatumia SSG speed ya kupakia na kushusha ni Kubwa. SSG inatoa ufanisi mkubwa wa kushusha na kupakia haraka na ndio njia ya kisasa kuliko Kutumia Mobile Harbour Crane (Gottward).

3. Direct Delivery Container zipewe kipaumbele.
Wakati wa kushusha container, shipping line/Clearing and Fowarding/Port/Customs na stakeholders wote wazipe kipaumbele
Container za Direct delivery Ili kupunguza msongamano Kwenye maeneo ya kutunzia na upakuaji kwenda Kasi.
 
We taasisi watu paperwork wanataka zifanyike manually hawatiki mambo yawe computerised unategemea nini? Pana mambo ya kipumbavu kwelikweli pale. Mtu ukiwa na ndugu yako pale ujue ni sehemu ya wapumbavu.
Kwa kweli
 

Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!

Tufunge mikanda.

Mtanikumbuka.
 
Au hii ndio Prelude to Ubinafsishaji ?

If want to Kill a Dog give it a Bad name.....
 
acha umalaya. lisu alitusemea kwa wazungu tukose misaada na kwa miaka 6 ya jiwe tuliishi kwa shida kwasababu ya Lisu. ajabu, yeye aliendelea kunywa bia ulaya wakati ndugu zake kule ikungi walipigwa na umasikini hadi waliomba misaada. sasa sijui alikuwa anamkomoa magufuli au raia wa Tanzania.
Malaya ni ww umeshindwa kujitafutia, ww si nchi ya maziwa na asali ww misaada yanini
 
Back
Top Bottom