Chris Lukosi: Gharama za kusafirisha kontena kwenda Bandari ya Dar es Salaam zimepanda sana

Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!

TPA imeanza lini kumiliki meli?
 
Huyu Chriss Lukosi mwamba wa zamani sana. Alikuwemo humu kitambo akitambulika km mbeba box huko UK. Alikuwa michango kwenye nyuzi mbalimbali kumbe sasa kajikita kwenye biashara
 
Mama akitaka aharibu kweli kweli aruhusu huu uzembe uendelee hapo bandarini, anachosema Lukosi ndio uhalisia sasa hivi tunachajiwa hiyo waiting charge ni balaa tupu.
Kariakoo Watu wanalia gharama za usafiri zimeongezeka sana na ni kwa Dar port tu
Ubia
 
Huyu Chriss Lukosi mwamba wa zamani sana. Alikuwemo humu kitambo akitambulika km mbeba box huko UK. Alikuwa michango kwenye nyuzi mbalimbali kumbe sasa kajikita kwenye biashara
Aliwahi kukumbwa na kashfa juu ya masuala mazima ya kufarijiana wakati wa matatizo. Sijui aliifutaje.
 
Huyu Chriss Lukosi mwamba wa zamani sana. Alikuwemo humu kitambo akitambulika km mbeba box huko UK. Alikuwa michango kwenye nyuzi mbalimbali kumbe sasa kajikita kwenye biashara
Alikuaga polisi bongo akakimbilia kwa dadake UK, ni mhehe mbabaishaji sana. Ni mataga!
 
Bandari yetu ina eneo dogo kama shule ya sekondari matokeo yake utoaji mizigo unakua wa kuchelewa kodi inapaa tunaoumia ni wananchi kupata vitu kwa bei
Naona ni tik taka tu kwa tusiielewa.wanaharibu ili wakiboresha tuone ufanisi au ndio wakenya wanaforce mizigo ipite mombasa /lamu ili wateke soko la africa mashariki.
Nilishasikia wanaosafirisha mizigo kutokea bandari ya dar wanaambia nafasi hakuna sijui mawaziri na watendaji wanajua haya yanayoendeleA?
 
Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!

Biashara haitaki maskini wala umaskini. Kama vipi arudie kazi yake ya zamani ya kubeba box. Aache kulialia.
 
Alikuaga polisi bongo akakimbilia kwa dadake UK, ni mhehe mbabaishaji sana. Ni mataga!
umesahau kitukimoja, kwamba ni raia wa Uingereza, aliukana utanzania. ila nina mawazo kwamba tz tukubaliane tu na uraia pacha kwasababu hauna madhara yeyote kwetu, wengi wanafikiri mtu akiwa na uraia pacha ataisaliti nchi au atakuwa loyal kwa nchi zingine, wanasahau kuwa hata raia wenye uraia wa nchi moja kama kina Tundu Lisu wameisaliti nchi kuliko hata wenye uraia pacha. mtu yeyote awe raia moja au raia pacha anaweza kuisaliti nchi. tujifunze nchi zingine kama rwanda, kenya, israel etc, wana uraia pacha, wamedhurika nini? zaidi sana wale walio nje wanarudi kuwekeza nchini kwao kwasababu sheria zinawalinda na wanaonekana ni raia halali. hao ni damu yetu tu, wengine wamefanya hivyo ili kupata pesa zisaidie hata hawa waliobaki huku ndugu zake, lakini moyoni yeye bado ni mtanzania. achilia mbali hao mercenaries waliojiunga jeshi la marekani, hao wamepitiliza.
 
Walalamike wrote siyo huyu,jamaa hovyo sana
Mwaka 2014 nilitaka fanya nae biashara moja pale UK alinizungusha mno na bla blah kibao... ni mtu wa hovyo sana hasa ukimkuta katika real life na huo u CCM wake ndo kabisaa.
 
Lissu kaisaliti vipi nchi we changudoa?
 
Lissu kaisaliti vipi nchi we changudoa?
acha umalaya. lisu alitusemea kwa wazungu tukose misaada na kwa miaka 6 ya jiwe tuliishi kwa shida kwasababu ya Lisu. ajabu, yeye aliendelea kunywa bia ulaya wakati ndugu zake kule ikungi walipigwa na umasikini hadi waliomba misaada. sasa sijui alikuwa anamkomoa magufuli au raia wa Tanzania.
 
Mwaka 2014 nilitaka fanya nae biashara moja pale UK alinizungusha mno na bla blah kibao... ni mtu wa hovyo sana hasa ukimkuta katika real life na huo u CCM wake ndo kabisaa.
ni wa hovyo kwa vipi, funguka ili na yeye kwasababu yupo humu aje kujitetea na tupate ukweli. funguka.
 
acha umalaya. lisu alitusemea kwa wazungu tukose misaada na kwa miaka 6 ya jiwe tuliishi kwa shida kwasababu ya Lisu. ajabu, yeye aliendelea kunywa bia ulaya wakati ndugu zake kule ikungi walipigwa na umasikini hadi waliomba misaada. sasa sijui alikuwa anamkomoa magufuli au raia wa Tanzania.
Kwani jiwe si alisema nchi tajiri sasa mlitesekaje kwa kukosa misaada ya wazungu?

Siku nyingine ukome ku quote watu wasio size yako changudoa wa kimboka wewe.
 
kwa namna ulivyoandika tu hapa unaonekana wewe ni mtu mjinga, wala sihitaji kupoteza muna kuongea na wewe.
 
Back
Top Bottom