Chris Lukosi: Gharama za kusafirisha kontena kwenda Bandari ya Dar es Salaam zimepanda sana

Wewe taahira kweli misaada misaada itakusaidia nini? Mwisho wa siku utaolewa tu!
 
Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
Mkuu yeye kasema ni pounds, hajasema dollars. Lakini bado point gharama ni kubwa. Inabidi tupitishie Mombasa tu.
 
Tatizo sera za kijamaa za CCM zinahofu zitasalitiwa na kvamiwa.
 
Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
Fafanua vizuri 2,300? Au 23,300?
Hii kutokea wapi?
Mbona 2,300 ni ndogo sana?
 
Issue Ni bandari wewe unamuongelea Lissu. Tofautisha Mambo binafsi na Mambo ya kitaifa.
 
Acha uongo Kwa hivyo Lissu ana nguvu kuliko Rais?. Akisema Jambo anasikilizwa?.

Kipindi Cha jiwe Misaadaa ilikuwa inakuja Kama kawaida na mikopo juu. Tena Jiwe alipokea misaada mingi sana na alikopa pia.
 
Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
Tuliambiwa Mwendazake alipanua gati za bandari ya Dar sasa inakuaje congestion kubwa kiasi hicho?

Tzn iache mambo ya kijinga,ijenge haraka bandari ya Bagamoyo kwenye long ran na pia kwa short term iongeze Kasi ya kupakua mizigo kwa sababu hili ndio tatizo.
 
Mama akitaka aharibu kweli kweli aruhusu huu uzembe uendelee hapo bandarini, anachosema Lukosi ndio uhalisia sasa hivi tunachajiwa hiyo waiting charge ni balaa tupu.
Kariakoo Watu wanalia gharama za usafiri zimeongezeka sana na ni kwa Dar port tu
Sio uzembe, bandari imeshazidiwa,tuliambiwa na Mwendazake amepanua gati kadhaa sasa hizo gati ziko wapi?

Watu wa meli wako sahihi kuhamishia gharama kwa importers
 
Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
Aendelee kuuza screper aachane na mapato yetu yeye anataka ishushwe bei ili aingize screper zake kiunafuu apate hela?
 
Huyu mama na madelu wanachojua ni kukata matozo kila mahala kwa wananchi, hadi kutoa pesa benki kwenye savings account unakatwa VAT jambo ambalo haliingii akilini, JPM aliweza kuthibiti ujanja ujanja kwenye hiyo bandari lakini kwa huyu mama mchwa wanaendelea kufanya yao........
 
Ile bandari pale ni ndogo ata ule upanuzi hauja saidia kitu pale. Nasikia kuna project ya kuongeza gari nyingine upande huu wa kigamboni tusubiri tuone ila ufanisi wa ile bandari ni 25%
 
Fungua video kwanza, yan wabongo tuna tabu sana!
eddy, TUNA NGUMBARO WENGI SANA TANZANIA HAWASOMI WAKAELEWA WAO WANAJIBU HA HA HA WHAT'S SHITS IS IT,
CONGESTIONS IMEKUWA KUBWA KATIKA BANDARI YETU KIASI INAWATIA HASARA LINEAR #SSH ALISIKIE HILI AIDHA BIDII YA RAIS WETU INAWEZA KUWA YA BURE KABISA, FAST MODERN EQUIPMENT ZINAHITAJIKA,. AIDHA KWA DHARURA BAADHI YA MELI ZIWE ZINAELEKEZWA TANGA NA MTWARA.
 
Sema mama nae ana madharau knoma mtu mwenye kiburi utamjua tu hata anavyojibu hoja, juzi kwa kikeke ndo kathibitisha ni jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…