Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
We taasisi watu paperwork wanataka zifanyike manually hawatiki mambo yawe computerised unategemea nini? Pana mambo ya kipumbavu kwelikweli pale. Mtu ukiwa na ndugu yako pale ujue ni sehemu ya wapumbavu.pale kuna poor port performance kutokana na ufinyu wa eneo basi wanarundika mizigo basi wanachaji gharama juu ila sorry nataka kujua izi ghrama ni za mda sana au
Kwa kweliWe taasisi watu paperwork wanataka zifanyike manually hawatiki mambo yawe computerised unategemea nini? Pana mambo ya kipumbavu kwelikweli pale. Mtu ukiwa na ndugu yako pale ujue ni sehemu ya wapumbavu.
Tufunge mikanda.Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
Serikali gani iyoo kwani malalamikoya bandari yameanza leoNaamini serikali itafanyia kazi hili
Malaya ni ww umeshindwa kujitafutia, ww si nchi ya maziwa na asali ww misaada yaniniacha umalaya. lisu alitusemea kwa wazungu tukose misaada na kwa miaka 6 ya jiwe tuliishi kwa shida kwasababu ya Lisu. ajabu, yeye aliendelea kunywa bia ulaya wakati ndugu zake kule ikungi walipigwa na umasikini hadi waliomba misaada. sasa sijui alikuwa anamkomoa magufuli au raia wa Tanzania.