Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Kama Masanja ameweza kuwa Mchungaji hilo siyo tatizo hata kidogo.

Ila watu wanapaswa kuelimishwa hayo siyo Makanisa (Churches) bali ni huduma (Ministries).

Na mc pilipili na mkewe lakini huduma imebuma Sijui?! 😀🤦‍♀️
 
Ndio a
Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..

Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...

Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
Ndio akambatane na Diamondi !
 

Kwa hukumu zenu kumbe ndio maana wanawake wengine hung’ang’ania kwenye ndoa hadi kuuliwa, kuumizwa, kudhalilishwa kwa sababu wanaogopa kują kudhalilishwa na kutikanwa na wana jamii.
Badilini namna zenu za mitazamo.
What if kuondoka kwake ndio pona yake na salama yake kwa mfano?
 
 
Kwani walio kwenye ndoa hawatimizi malengo yao?

Siamini kwenye jambo jema kama hilo la kumtumikia Mungu mume anaweza kuwa kikwazo!

Mke kutawaliwa ndo jadi ya enzi na enzi na mke akijua mipaka yake wala haoni kama anatawaliwa!

Jitahidi mke asikuzidi kiuchumi rangi zote utaziona!
 
Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Beatrice Muhine nilikula kimasihara sanaaa.
 
Huyo dada yupo sawa kabisa kwa sababu hata mwanzo kabisa dini iliingia kimchongo tu kwa hyo jambo la kimchongo lazima liwe kimchongo ,bado hamjaona mengi yanakuja.
Uko sahihi zaidi...
 
Hazipo kisheria ya kidini. Ni umalaya tu. Usipotoshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…