KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
ni haki yake kukataa ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika ujingaUkishamjua YESU kila kitu unaona kawaida, kiu ya kutaka kumjua zaidi ni zaidi ya kiu ya maji...
Tunaweza ona Christina alifurahi kumuacha mumewe ila hakufurahi, ila Yesu akikuita utamfuata tu...
Sio rahisi haya mambo kama watu wanavyodhani...
Fikiria vile Maria alivyopata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu alafu alikuwa na mchumba wake Yusufu...
Yusufu alitaka kumuacha kwa Siri Mariamu ila akapata maelekezo kwa Mungu hakumuacha...
Mambo ya Rohoni zaidi
Yesu alimuoa nani ?Sijui atawahubiria nini waumini wa kanisa lake kuhusu ndoa ikiwa yeye mwenyewe anaona ndoa ni miyeyusho.
kwa hili kidogo tunaanza kuwaelewa wataleban japo tunawaona ni washenziTaliban ndio wanaijuwa nafasi ya mwanamke Kwa usahihi.
Shida zote hizi zimeletwa na Wamagharibi.
Kuna uchungaji wa kusoma na uchungaji wa kuitwa na Mungu mwenyewe.hawezi kuwa mchungaji, mume wake alihangaika kumpeleka hata chuo cha uchungaji dodoma pale, akasoma miezi kadhaa akaacha. siku hizi huwezi kuwa mchungaji kama hauna cheti cha kisomo kuwa mchungaji. nadhani ndio maana hataki kuwa mchungaji. hata huduma yake kama wakifuatilia watajua ipo kimakosa,labda kama kanunua cheti au amesoma online au kisirisiri. wanaomjua wanajua wanalijua hili.
tunaongelea uchungaji hapa Tanzania, tangu mbarikiwa atibue mambo, hauwezi kusajili kanisa au hata kuitwa mchungaji wa kupata leseni ya kufungisha ndoa kama huna cheti. uliza walioenda kusajili watakuambia hili. although technically, uchungaji hautakiwi kuwa wa kusomea, unatakiwa uwe wa kuitwa na Mungu, wapo wachungaji wakubwa sana walishapita duniani hawakuwa wasomi.Kuna uchungaji wa kusoma na uchungaji wa kuitwa na Mungu mwenyewe.
Kwamba unamwacha mume Ili ukashirikiane na mondi kuandaa matamasha?Ukishamjua YESU kila kitu unaona kawaida, kiu ya kutaka kumjua zaidi ni zaidi ya kiu ya maji...
Tunaweza ona Christina alifurahi kumuacha mumewe ila hakufurahi, ila Yesu akikuita utamfuata tu...
Sio rahisi haya mambo kama watu wanavyodhani...
Fikiria vile Maria alivyopata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu alafu alikuwa na mchumba wake Yusufu...
Yusufu alitaka kumuacha kwa Siri Mariamu ila akapata maelekezo kwa Mungu hakumuacha...
Mambo ya Rohoni zaidi
Hayo yote wanayoringia ni ujana tu ,huo umaarufu kuna kipind unaisha kabisa maana hata mvuto unatoweka.Asirudi kuanza kulialia..!!
Unapoolewa au unapoowa, kuna mambo utayaacha. Sasa yeye alitaka aendelee na mambo yake kama bachela..!!?? Atoe ujinga wake..!!!
Katika vitu vinayowashinda wanawake, baadhi ni hivi;
1. Umaarufu
Wengi wa wanawake maarufu ndoa zao zina shida sana. Huwa wakishakuwa maarufu wanaona ndoa ni utumwa. Anataka awe popote muda wowote. Hii inakwenda hadi namna anavyowalea watoto wake.
2. Fedha
Mwanaume, anaweza akaishi na mwanamke asiye na kitu kwa maisha yao yote, lakini kwa wanawake walio wengi mwenye hela kuishi na mwanaume asiye na kitu, ikizidi sana wiki..!!
3. Cheo
Kuwa na cheo nako baadhi ya wanawake wameshindwa kujizuia kuwanyanya waume zao kwa vyeo vyao.
Huyu umaarufu tu unamsumbua..!!
Wayahudi zamani wakati wa Sensa wanawake hawakuhesabiwa.kwa hili kidogo tunaanza kuwaelewa wataleban japo tunawaona ni washenzi
atuambie, tendo la ndoa kwa umri wake huu, anafanya na nani? na tunamwona anazungukwa na vijana watanashati, kina diamond na wenzake. au hana hamu kabisa? manake sisi tuliookoka huwa tunafanya tendo kwenye ndoa tu, yeye anapomwacha mumewe ambaye ndiye mwenye haki kumfanya, anafanya na nani?Kwamba unamwacha mume Ili ukashirikiane na mondi kuandaa matamasha?
Kuna chombo kinachofuatilia kama ana cheti au hana?.hawezi kuwa mchungaji, mume wake alihangaika kumpeleka hata chuo cha uchungaji dodoma pale, akasoma miezi kadhaa akaacha. siku hizi huwezi kuwa mchungaji kama hauna cheti cha kisomo kuwa mchungaji. nadhani ndio maana hataki kuwa mchungaji. hata huduma yake kama wakifuatilia watajua ipo kimakosa,labda kama kanunua cheti au amesoma online au kisirisiri. wanaomjua wanajua wanalijua hili.
Acha samaki wavuliwe, ni njia tu ya kuwafikia watu wa Mungu...Kwamba unamwacha mume Ili ukashirikiane na mondi kuandaa matamasha?
Ngoja uzeeke utkuwa unalipa pesa kila ukichambishwa mda huo hata kutembea hujuiNdoa ni kwa ajili ya watu 'mediocre' wasio na malengo makubwa.
We ni mfuasi wa dini gani?Mie hata sio mfuasi wa Dini za kuletewa, sorry
ndio, hata wakimwacha wanakuwa wamemwacha kwa maslahi yao tu, hata hao kina masanja, pilipili, wanatakiwa kuwa na certificate ya uchungaji, nenda kwenye usajili wa taasisi za dini utajua hili.Kuna chombo kinachofuatilia kama ana cheti au hana?.
YESU kamwe hawezi kukuita na kukuelekeza uachane na mumeo ambaye ni mtumishi wa Mungu.Acha samaki wavuliwe, ni njia tu ya kuwafikia watu wa Mungu...
Acheni kuhukumu watu...
Hata Yesu hakuna kwaajili ya wasio na dhambi alikuja kwaajili ya wenye dhambi.
Duh!Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..
Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...
Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
nyimbo zake nzuri sana, na alikuwa na karama hiyo mno, ajabu shetani kwasababu hapendi aendelee kuhudumia mioyo ya watu, amemwingia na anataka kumteketeza kabisa kipawa chake alichopewa na Mungu pamoja na yeye. hatajua hili hadi yamkute, Mungu amsaidie aelewe. kiburi na jeuri iliyomjaa anahitaji kuombewa, wala sio yeye, amepagawa. wenye macho ya kiroho wanajua hili. hakuna aliyepandisha mabega baada ya kuinuliwa ambaye hajawahi kushushwa kwa aibu.Nazikubali sana nyimbo zake huyu.