Wana roho ya husda sana, hawapendani familia moja lakini wanaishi kama maadui.Wahaya walishasarenda kitambo, sifa yao moja muhimu ilikuwa ujivuni/majigambo... sasa ishakwapuliwa na Chaggas!
Kwani huko kwenye treni Wasukuma mmekatazwa kupanda?Wachaga mkiwa mjini Mzizima mna mbwembwe sana lakini kiuhalisia mnasafiri kwa treni na kulala kwenye mapagale.
Nadhani sasa umemuelewa!
[emoji3][emoji3][emoji3] eti walevi ndo wana pesa hiki si kituko!!!! Mchagga akitoka kwenye mkoa wake huyo ndo amejinasua na ulevi otherwise uchaggani atakufa na ulevi. Ngoja tuwaambie waache uongoHuku vijana wamejaa wizi, ulevi, ukabaji sijui unapanic nini wewe mchaga[emoji3][emoji3] umetembea mikoa nane ila mkoa wako hujatembea
Baadhi ya Mambo yanafanana,Ila kagera 60% Ni mapori na vichakaBasi kama umetembea uhayani utakuwa aware na ninachosema, yaani hakuna jipya ambalo Mhaya atalishangaa uchaggani
Karibu shekhe Makame, tumekuwekea pua na ulimi meku, karibu sana kaskaziniMoshi ni sehemu ya utalii wa ndani, sisi Wapemba twatiririka kwenda kula lijidude jeupe litamu huko🐷🐖🐽
Umaskini upo tena mwingi tu, mtu mlevi muda wote anapata wapi pesa??Nchi yetu bado ni masikini.
Uchagani masikini wapo lakini huwezi kulinganisha na mikoa mingine
Ndege zote za Kilimanjaro zimejaa either ndege binafsi(Kilimanjaro watu wengi wanamiliki kampuni binafsi za ndege)Ndege za watalii wa kwenda Arusha?? Alafu mpaka mpitie Zanzibar, nauli tu ya ndege kwenda kwenu ni nauli ya basi kwenda bk, ndege za bk zimejaa mpaka wakaongeza route
Ni kweli nimeishi kwao huko miaka 3 nimeweka na investment yangu kuleWana roho ya husda sana, hawapendani familia moja lakini wanaishi kama maadui.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
HahahaWahaya walishasarenda kitambo, sifa yao moja muhimu ilikuwa ujivuni/majigambo... sasa ishakwapuliwa na Chaggas!
Na kwa takwimu Kilimanjaro ndo inaongoza kwa kufunga umeme wa REA vijijini, 85% ya vijiji vina umeme, imebaki 15% tu kumaliza vijiji vyote!Baadhi ya Mambo yanafanana,Ila kagera 60% Ni mapori na vichaka
Kilimanjaro 10% tu ndio misitu tena ya serikali, Kilimanjaro ardhi haiwez kuwa idle
Kilimanjaro licha ya kuwa mkoa mdogo lakini inaongoza kuwa na shule nyingi,kagera na ukubwa wote lakin haifui dafu kwa shule Wala miundombinu
Pia kagera umaskini Ni 40% wakati Kilimanjaro Ni 10% can you differentiate?
Kagera Kuna vijiji Hadi Leo havina umeme wakati Kilimanjaro umeme tangu 70's
Kagera Kuna sehemu chache kongwe ambazo ndio angalau Zina maendeleo Kama nshamba,kamachumu,bunaz
For which factors?Hakuna aliyetokwa povu sisi tumekuja kuwa-disaprove ili msiendelee kuwadanganya watu
Kagera ni mapori??? Kumbe wewe umeishia biharamulo, hivi hujui kwamba Kagera ni ya tatu kwa population density nchini?? Je hao watu wanaishi wapi?? Kumbe ukiona mashamba ya migomba unadhani ni mapori, wilaya tu ya muleba ina watu zaidi ya laki saba, ukitoka muleba mpaka bk mjini zaidi ya km 80 ni makazi ya watuBaadhi ya Mambo yanafanana,Ila kagera 60% Ni mapori na vichaka
Kilimanjaro 10% tu ndio misitu tena ya serikali, Kilimanjaro ardhi haiwez kuwa idle
Kilimanjaro licha ya kuwa mkoa mdogo lakini inaongoza kuwa na shule nyingi,kagera na ukubwa wote lakin haifui dafu kwa shule Wala miundombinu
Pia kagera umaskini Ni 40% wakati Kilimanjaro Ni 10% can you differentiate?
Kagera Kuna vijiji Hadi Leo havina umeme wakati Kilimanjaro umeme tangu 70's
Kagera Kuna sehemu chache kongwe ambazo ndio angalau Zina maendeleo Kama nshamba,kamachumu,bunaz
Tungekuwa tumeshuka ripoti isingekuwa inaonyesha 10% ya umaskiniKwa taarifa yako mnaendelea kushuka maana huko kwenu hamna jipya tena
KIA hujui inahudumia mikoa mingapi na watu wanaokwenda huko si wanajulikanaNdege zote za Kilimanjaro zimejaa either ndege binafsi(Kilimanjaro watu wengi wanamiliki kampuni binafsi za ndege)
Wa mwendokasi[emoji1]Huu utafiti aisee[emoji1]
Yaani wewe unchokisema huna tofauti na uchumi wa kati wa Tz achana na makablasha watu tumefika tukajionea hakuna hicho unchokisemaTungekuwa tumeshuka ripoti isingekuwa inaonyesha 10% ya umaskini
Tunataka Hadi 2022 kusiwe na umaskini kabisa UCHAGANI, umaskini tuwaachie wahaya[emoji1][emoji1]
Wezi wapo dunia nzima,Mimi mwenyewe mwaka 2017 niliibiwa Dola 2000 nikiwa kwenye treni jijini cologne ujerumaniHuku vijana wamejaa wizi, ulevi, ukabaji sijui unapanic nini wewe mchaga[emoji3][emoji3] umetembea mikoa nane ila mkoa wako hujatembea
Sasa hayo si mambo ya Geographocal location mkuu? Mbona unabiangusha. Hata ingekua kagera iko kenta ndo imeshakua. Nauli ikiwa kubwa ndo nini sasa? Si kutokana na distance? Na mangarangara yenu[emoji23]Ndege za watalii wa kwenda Arusha?? Alafu mpaka mpitie Zanzibar, nauli tu ya ndege kwenda kwenu ni nauli ya basi kwenda bk, ndege za bk zimejaa mpaka wakaongeza route