nyerere na mwalimu ni mtu na mjomba wake its okay kubishana, sisi hatutaki porojoJ. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.
gete, nchiluchiluNiyo mbuli gete u mbehi ng'wenuyu.
Nyerere na Mwalimu?nyerere na mwalimu ni mtu na mjomba wake its okay kubishana, sisi hatutaki porojo
Mbona hatuoni huo ubishani kwenye nafasi aliyopewa nayo? Amebeba ukabila na ukanda?J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.
Hoja gani? He is one amongst who brought our country to this level!Yote hayo hayana maana kama hakuna majibu ya hoja zake. Cha msingi hapo ni kujadili kuona anayoyazungumzia yana mashiko?
Hiyo Kanda Ina baadhi ya watu wabinafsi wababe wasio na busara ya kufanya mambo...They think Mabavu ndiyo akili...Pwani Wana diplomacy ya hali ya juu na ndiyo wao walioshiriki kikamilifu kuleta uhuruWarioba sio MTU wa Pwani Wala Dar ,Wala morogoro wala Zanzibar, Wala Lindi Wala mtwara ,kwamba utamkuta ni Mswahili kama ulivyo wewe Kinembe.
Warioba Ni jabali la Kanda ya ziwa, yuko hivo Toka Enzi na Enzi
....na wapumbavu!Labda kaona anazeeka anakaribia kufa asiposema sasa hatasema milele.
Ni haki yake ya kikatiba.
Jadili hoja. Usimjadili mtoa hoja.
Kumjadili mtoa hoja badala ya hoja ni ad hominem attack, logical fallacy, mara nyingi hufanywa na watu wasio na hoja.
Hakuna chuki Wala Nini! Anasema ukweli mtupu,na ndivyo uhalisia ulivyoZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Unaendeshwa na hisia zako mfu.Mtu mzima akikusema,msikilize na uchuje uambiwacho.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Andika vitu vieleweke.Mbona hatuoni huo ubishani kwenye nafasi aliyopewa nayo? Amebeba ukabila na ukanda?
Acha siasa za kitoto, Warioba huwa ni msema ukweli muda wote. Upotoshaji wa kijinga haukufikishi popote, huyo Kipi hakuondolewa kwenye ukuu wa wilaya, bali aliacha ukuu wa wilaya ili kwenda kugombea ubunge 2020.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Yeye ndiye alikuwa tume?Acha usingiziaji.Ebu tupia mfano mmoja wa Warioba alivyomfundisha Mwalimu Sheria tufurahi humu.
Maana mimi ninachojua kwa Mzee Warioba ni kuchakachua matokeo ya uchaguzi wa ubunge mwaka 1990 Jimbo la Bunda kabla ya mahakama kutengua ubunge wake! Ahahahahaha!!!
Pia, rejea Tume ya Katiba, Warioba aliwasilisha maoni ya serikali tatu tofauti na matakwa ya CCM. Angekuwa chawa bendera fuata upepo, angeweza kuchakachua maoni na kufuata mwelekeo wa CCM.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
We kweli mwendawazimu, Warioba huyuhuyu chawa wa Mwalimu?J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.
Yapi maneno ya chuki ?Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Mawazo ya vitoto vya 2000 haya. Hakuna rais huyu mzee hajawahi kumkosoa ikitokea amekengeuka. Waulize wakubwa wako wanajua. Usiwe unakimbilia kuandika. Sawa ndugu?Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.