nyerere na mwalimu ni mtu na mjomba wake its okay kubishana, sisi hatutaki porojoJ. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.