Tambala mbovu
Member
- Sep 9, 2014
- 84
- 97
Yani Chama haujumu timu katika magoli matatu ya Simba kwenye ligi ya mabingwa amefunga mawili.
Hata goli ambalo Bocco alipiga na wakajifunga yeye ndiye alimpa pasi, Sasa hizo hujuma Zina toka wapi...?
Andika weka ushahidi wa hata Mazingira tuone.
Una una lazimisha kujipa umuhimu mkubwa wa Simba wakati haujui lolote mjinga mkubwa.
Mara kujifanya mganga kisa ujuajj mwingi akili kisoda.