GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Do you really expect this authentic and dame Fool CAPO DELGADO to understand you my Friend and Brainiac adriz?Vitabu vya dini vinasisitiza vile vile na watu wenye akili kila siku wanasisitiza kuwa " usibishane na mpumbavu(tahira,chizi nk)" sasa wewe umeshakiri kuwa mleta nada ni tahira hana akili halafu kila siku unamfuatilia mada zake ,kubishana nae ,kumchokoza nk hapo haujioni kuwa wewe unatatizo kubwa ndani yako ?
Yeye(GENTAMYCINE ) hayuko tayari kubadilika na ameshindikana kurekebishika sasa kwa nini bado unamfuatilia na kashatoa ANGALIZO ukiwa haufurahishwi na mada zake ?