Tambala mbovu
Member
- Sep 9, 2014
- 84
- 97
Simba imeendekeza ubwege sana na hao friends of simba, Mo n mazagazaga yote ni uselessNdani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla
Kundi la Kwanza
Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira.
Kundi la Pili
Hili ni lile Kundi ambalo linampigania Kocha Mkuu Roberto Oliveira linaloongozwa na Kibu Denis,ila linachukiwa na Wachezaji wenzao akina Chama na huyo Kiongozi Mmoja mkubwa tu.
Kundi la Tatu
Hili ni Kundi Vuguvugu ( kote kote lipo lenye Unafiki mwingi ) linaloongozwa na Saido Ntibanzokinza na lina Kiongozi Wao mwingine ambaye ndiyo Bingwa wa Kuwaroga Wachezaji wa Kigeni ambaye kaletewa sasa Mbabe wake Mwarabu apambane nae.
Haya Wazee wa Kukopi Taarifa za GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na Wengineo ( Watangazaji na Wachambuzi ) wa Michezo Tanzania hii mlikuwa hamna na Mimi ndiyo wa Kwanza nawaletea hapa JamiiForums hivyo mkiiga hii na kuitumia msisahau kunitaja Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE na huu Mtandao pemdwa wa JamiiForums sawa?
Na kuwaonyesheni kuwa Mfalme nimeingia Chimbo kutoka Jana hadi Mchana huu ni kwamba kaeni tayari kuanzia Saa 4 Kamili leo Usiku hapa hapa JamiiForums nitakuja na Exclusives nyingine Mbili za Kuihusu Simba SC hivyo wekeni Mabando ya kutosha na msikae mbali na JamiiForums na Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE Mimi sawa?
Ni kweli usemayo jamaa lakin na kocha nae ameshindwa kuonesha mbinu mbadala zaidi yeye ameamua kucheza mpira ule mtaani tunasema bora liende mbele hii ni hatari.Timu yenu hakuna anaye ihujumu hivyo ndivyo ilivyo ata mu mlete kocha mpya hakutakua na mabadiliko.
Timu ukisha ikosea kwenye msingi ( usajili) mhanga wa kwanza lazima awe kocha. Timu yenu haina balance.
Na kuifahamu ilo inatakiwa wanao sajili wawe wana ufahamu mpira sio kumwachia Mangungu.
Yani una una Miquison, una Boko, una Saido, una Baleke na hawa ndio tegemeo mkwenu unategemea muujiza gani?
Hawa wote ni reject wameshajichokea.
Saido alileta fujo tu kutaka kumuharibia Mayele nafasi ya mfungaji bora, sasa mafuta na maji vinajitenga.
Ndio na vijiwe vyao ni kwa msisi handeni wanajulikana..shubamiti kabisaaaaHata Usema vipi Ukweli itabaki pale paleβ¦
Msimbazi wachezaji wazawa wanawaloga wageni ili wasifanye vema kwa kila namna.
Wakati wenzao wa Jangwani hakuna wachezaji kuloganaβ¦kabisa
kunna wazee kina Mpili na wenzake wakikuchungulia wakakuta unaloga wenzio wanakuondoa Fastaaa!
Kuloga wanaloga nje sio wachezaji wao kwa wao.
Msimbazi huu mtundo unadekezwa na Viongozi sio kwa masslahi ya Timu bali Mahaba ya Wachezaji wanaowapenda!
We ni tapeli mkubwa.Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla
Kundi la Kwanza
Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira.
Kundi la Pili
Hili ni lile Kundi ambalo linampigania Kocha Mkuu Roberto Oliveira linaloongozwa na Kibu Denis,ila linachukiwa na Wachezaji wenzao akina Chama na huyo Kiongozi Mmoja mkubwa tu.
Kundi la Tatu
Hili ni Kundi Vuguvugu ( kote kote lipo lenye Unafiki mwingi ) linaloongozwa na Saido Ntibanzokinza na lina Kiongozi Wao mwingine ambaye ndiyo Bingwa wa Kuwaroga Wachezaji wa Kigeni ambaye kaletewa sasa Mbabe wake Mwarabu apambane nae.
Haya Wazee wa Kukopi Taarifa za GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na Wengineo ( Watangazaji na Wachambuzi ) wa Michezo Tanzania hii mlikuwa hamna na Mimi ndiyo wa Kwanza nawaletea hapa JamiiForums hivyo mkiiga hii na kuitumia msisahau kunitaja Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE na huu Mtandao pemdwa wa JamiiForums sawa?
Na kuwaonyesheni kuwa Mfalme nimeingia Chimbo kutoka Jana hadi Mchana huu ni kwamba kaeni tayari kuanzia Saa 4 Kamili leo Usiku hapa hapa JamiiForums nitakuja na Exclusives nyingine Mbili za Kuihusu Simba SC hivyo wekeni Mabando ya kutosha na msikae mbali na JamiiForums na Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE Mimi sawa?
Hata mimi nimeona, ukiangalia kabisa unaona game plan ya mwalimu, ila sasa wachezaji ndo wanamwangusha.Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla
Kundi la Kwanza
Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira.
Kundi la Pili
Hili ni lile Kundi ambalo linampigania Kocha Mkuu Roberto Oliveira linaloongozwa na Kibu Denis,ila linachukiwa na Wachezaji wenzao akina Chama na huyo Kiongozi Mmoja mkubwa tu.
Kundi la Tatu
Hili ni Kundi Vuguvugu ( kote kote lipo lenye Unafiki mwingi ) linaloongozwa na Saido Ntibanzokinza na lina Kiongozi Wao mwingine ambaye ndiyo Bingwa wa Kuwaroga Wachezaji wa Kigeni ambaye kaletewa sasa Mbabe wake Mwarabu apambane nae.
Haya Wazee wa Kukopi Taarifa za GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na Wengineo ( Watangazaji na Wachambuzi ) wa Michezo Tanzania hii mlikuwa hamna na Mimi ndiyo wa Kwanza nawaletea hapa JamiiForums hivyo mkiiga hii na kuitumia msisahau kunitaja Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE na huu Mtandao pemdwa wa JamiiForums sawa?
Na kuwaonyesheni kuwa Mfalme nimeingia Chimbo kutoka Jana hadi Mchana huu ni kwamba kaeni tayari kuanzia Saa 4 Kamili leo Usiku hapa hapa JamiiForums nitakuja na Exclusives nyingine Mbili za Kuihusu Simba SC hivyo wekeni Mabando ya kutosha na msikae mbali na JamiiForums na Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE Mimi sawa?
Hii kitu kipo.Kwani huwezi Kumlisha Mwanao Nyumbani Kwako na bado akakushukuru Wewe Baba yake ila Moyoni anakuchukia hata kutamani Ufe tu kwa Kutoridhishwa nawe Kimalezi?
Mm nashangaa saidoo Huyu imekuaje mpaka aonekane nondo pale simba?Yani una una Miquison, una Boko, una Saido, una Baleke na hawa ndio tegemeo mkwenu unategemea muujiza gani?
Hawa wote ni reject wameshajichokea.
Saido alileta fujo tu kutaka kumuharibia Mayele nafasi ya mfungaji bora, sasa mafuta na maji vinajitenga.
Mkuu hii timu si zilitolewa billioni kadhaa na boss maneno akatangaza mpaka mtandaoniNdani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla
Kundi la Kwanza
Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira.
Kundi la Pili
Hili ni lile Kundi ambalo linampigania Kocha Mkuu Roberto Oliveira linaloongozwa na Kibu Denis,ila linachukiwa na Wachezaji wenzao akina Chama na huyo Kiongozi Mmoja mkubwa tu.
Kundi la Tatu
Hili ni Kundi Vuguvugu ( kote kote lipo lenye Unafiki mwingi ) linaloongozwa na Saido Ntibanzokinza na lina Kiongozi Wao mwingine ambaye ndiyo Bingwa wa Kuwaroga Wachezaji wa Kigeni ambaye kaletewa sasa Mbabe wake Mwarabu apambane nae.
Haya Wazee wa Kukopi Taarifa za GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na Wengineo ( Watangazaji na Wachambuzi ) wa Michezo Tanzania hii mlikuwa hamna na Mimi ndiyo wa Kwanza nawaletea hapa JamiiForums hivyo mkiiga hii na kuitumia msisahau kunitaja Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE na huu Mtandao pemdwa wa JamiiForums sawa?
Na kuwaonyesheni kuwa Mfalme nimeingia Chimbo kutoka Jana hadi Mchana huu ni kwamba kaeni tayari kuanzia Saa 4 Kamili leo Usiku hapa hapa JamiiForums nitakuja na Exclusives nyingine Mbili za Kuihusu Simba SC hivyo wekeni Mabando ya kutosha na msikae mbali na JamiiForums na Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE Mimi sawa?
Walio mleta kocha wanajua falsafa za Robertinho ni direct football sasa kumlaumu ni ku mkosea, direct football inahitaji nguvu na kasi ya kuwahi kwenye maeneo.Ni kweli usemayo jamaa lakin na kocha nae ameshindwa kuonesha mbinu mbadala zaidi yeye ameamua kucheza mpira ule mtaani tunasema bora liende mbele hii ni hatari.
Lingine mkuu nikuulize unataka kutuambia simba hii na Simba ya msimu uliopita ya wapi inaafadhali?