Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

Yaani kwa wapinzani hadi tume huru iwatangaze wao na mahakama isiwahukumu wao ndio nchi ina haki

..na kwa ccm tume ni huru kwasababu inaengua wapinzani peke yao?

..tume gani hii tangu mfumo wa vyama vingi urudishwe haijawahi kuengua mwana-ccm?
 
Wewe acha kutisha watu kwa hiyo asiambiwe ukweli kisa alimwona hosp? Acha uoga wa kindugai ndugai
 

Mkuu Lissu hana sifa ya kuwa Rais Labda Rahisi. Atafute kazi ya uwakili. Anaweza. Kelele kelele Ni.
 
Mwendazake aliiba kura hilo halinanubishi na CCM wote wanajua.

Ujio wa Rais Lissu ni heka heka nyingine kwa Taifa...jamaa anakubakika.
 

Na MaCHadema wameungana wapi. Never underestimate MaCCM.

Kosa kubwa ndo Hilo. Tz iko vizuri sana. Wazungu hawataiweza kirahisi hivyo.
 
Kwa ufupi TL apange karata zake vizuri CCM waliobaki wengi ni wezi na wahuni tuliokuwa tunamuunga mkono magu tutaamia kwa TL sababu sisi tunataka rais mkali na mwenye uthubutu na mwenye ufatiliaji wa mambo lwa ukaribu sana kama alivyokuwa marehemu.

Lissu sio mfuatiliaji Ni mropokaji. So kama ulikuwa na JPM na Sasa Lissu Basi hujamjua kabisa JPM. Lissu Ni kibaraka. Samia is a Good President.
 
Lissu hawezi kulinganishwa na SSH. Lissu yupo vizuri sana kichwani na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja.

Hadi mwendazake kutaka kumuua aliona jamaa hoja zake hazijibiki na sidhani ndani ya CCM hii kuna mtu wa kujaribu kujibu hoja za Lissu bila kurusha ngumi..hayupo.
 
Mama Samia siyo tu hafai kuwa Rais lakini hata uwaziri hafai pia,mama anastahili kuwa mbunge tu akipanda sana naibu waziri TAMISEMI.
 
Siku Lissu anatua nchini watasema ni siku ya usafi kitaifa na waziri mkuu atashiriki kazi hiyo huku wakuu wa wilaya na mikoa wakiwa mstari wq mbele kwemye maeneo yao.
 
Mkuu Lissu hana sifa ya kuwa Rais Labda Rahisi. Atafute kazi ya uwakili. Anaweza. Kelele kelele Ni.
Aliyekuwa hawezi kuwa rais alikufa kiboya boya.

Lissu ana ukuu na nguvu za kimungu ndio maana hakuweza kumuua
 
Siku Lissu anatua nchini watasema ni siku ya usafi kitaifa na waziri mkuu atashiriki kazi hiyo huku wakuu wa wilaya na mikoa wakiwa mstari wq mbele kwemye maeneo yao.
Hiyo itakua nzuri Sana na ni njia nzuri Sana ya kumtangaza Lisu hasa kwa hao watakaokua wakifanya usafi na hata mataifa ya nje.
 
Lissu hakuwahi kumuita Magufuli dikteta, bali aliwahi kumuita JPM dikteta. Hawa ni watu wawili tofauti na shahidi ni yeye Tundu Lissu.
 
uzi wa kufungia mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…