Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

TL hawezi kuchaguliwa na wenye akili timamu. Aendelee kujifurahisha.

..naheshimu mtizamo wako.

..lakini kuna umuhimu wa kuandika katiba inayoendana na mazingira ya wakati huu.

..katiba itakarekebisha mapungufu ya katiba tuliyonayo sasa hivi.
 
Katiba sio muarobaini wa Matatizo ya Tanzania. Watu waache uchu wa madaraka na kuwakamua walipa kodi wa Tanzania. Sheria isimamiwe kwa haki kwa kila Mtanzania. Nyie Chadema mbona katiba yenu ndogo tu ya chama chenu imewashinda kumuondoa madarakani Mbowe? Mtaweza Katiba ya nchi? Wacheni gelesha zenu.
 
..hakuna aliyesema katiba ni muarubaini.

..lakini hiyo sio sababu ya kutuuzia kuandika katiba itakayokuwa bora kuliko hii ya sasa hivi.

..cdm kushindwa kuisimamia katiba yao haiwezi kuwa kizuizi kwa Tz kuwa na katiba mpya.

..tunazungumzia katiba ya nchi Tz ambayo mchakato wako unawahusu wananchi wote wawe ccm, cdm, cuff, act,...pamoja na wasio na vyama.
 
Tengenezeni ya Chadema Kwanza. Mnashindwa hiyo ndogo tu, mtaweza ya Tanzania? You guys must be joking. I'm sorry but ... huu ujanja ujanja wa sungura hautawafikisha popote.
 
Mwanasiasa aliyekamilika kila idara! Twende na TL 2025
 
Twende naye2
IMG_20200917_100630.jpeg
 
Tengenezeni ya Chadema Kwanza. Mnashindwa hiyo ndogo tu, mtaweza ya Tanzania? You guys must be joking. I'm sorry but ... huu ujanja ujanja wa sungura hautawafikisha popote.

..wazo lako kwamba Chadema waboreshe katina ya chama sio baya.

..lakini ubovu wa katiba ya Chadema hauwezi kuwa kikwazo kwa Watz kupata katiba mpya.

..besides, kuna rasimu ya Jaji Warioba. Vilevile kuna rasimu ya katiba pendekezwa.

..rasimu zote hizo zimepatikana bila kuwepo kisingizio kwamba katiba ya Chadema iandikwe upya ndipo Tz ipate katiba mpya.

..Tunazungumzia KATIBA YA NCHI / TANZANIA.
 
1995 Mrema alipotikisa haikuonekana CCM ya kumdhibiti

Miaka yote aliyotikisa Seif Sharif haikuonekana Ccm ya kumdhibiti

Alipotingisha Slaa 2010 tukaona hakuna ccm ya kumdhibiti

Alipotingisha Lowassa 2015 pia haikuonekana ccm ya kumdhibiti

Yote hayo yakabaki historia kwa kale ka wimbo ka wizi wa kura
...mm naogopa zaidi ujio wa Tundu kwa sababu sioni CCM ya kumkabili.

Jamaa anatisha!
 
..wazo lako kwamba Chadema waboreshe katina ya chama sio baya.

..lakini ubovu wa katiba ya Chadema hauwezi kuwa kikwazo kwa Watz kupata katiba mpya.

..besides, kuna rasimu ya Jaji Warioba. Vilevile kuna rasimu ya katiba pendekezwa.

..rasimu zote hizo zimepatikana bila kuwepo kisingizio kwamba katiba ya Chadema iandikwe upya ndipo Tz ipate katiba mpya.

..Tunazungumzia KATIBA YA NCHI / TANZANIA.
Sawa, hizo zote zimefanyika na wakati ukifika Katiba mpya itapatikana. Hakuna anayefukuzwa na simba wala nini muda utaongea na katiba itapatikana. Tatizo ni hilo shinikizo linalotoka kwa Chadema wakati wenyewe sio wasafi, ndio linaloonekana kama mtego wa kinachotafutwa. Hiyo mitego ya Chadema or Chaga gangsters haitanasa.
 
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.

Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.

Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!

Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.

2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Hicho kitakuwa kimbunga Utopolo
 
..Katiba ni ya Tanzania, maana yake Sukuma Gang, Chaga Gang, Msoga Gang, Makunduchi Gang,...na wasio na gang, wore tunatakiwa tuungane kuamua mustakabali mpya wa nchi yetu.
 
When time is right, not when Chadema are in trouble.
 
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.

Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.

Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!

Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.

2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Lissu akija na mwenendo uleule wa uzushi uongo na uropokaji mambo huenda yakamwendea ubaya kuliko hata enzi ya jpm. Kwa sababu zipo sheria wao wanaita kandamizi watamdhibiti tu na hata kumfunga jela.
Ukweli lissu sio mwanasiasa ila ni wakili. Anafanya siasa kwa msingi wa kiwakili. Tena uwakili ule wa ujanjaujanja wa kuua kesi on technicalities.
Utaona kama jinsi kesi ya ugaidi ya mbowe inaenda mawakili wanafanya kilissu. Wanataka kuua kesi kuu kwa kuzua vikesi. Majudge wamekataa uhuni wanalenga kesi kuu iendelee. Kama ushahidi ukitosheleza hakika mbowe wanamfunga. Hii ndio system ya haki sio ubabaishaji wa kilissu.
 
Kimbunga kipi?

Huyo ni mwepesi na sio presidential material
 
..tatizo wanaofungwa ni wapinzani peke yao, ccm wao wanapata tu.

..itafika mahali wananchi wataanza kudai MAHAKAMA HURU, zaidi ya Tume Huru ya Uchaguzi wanaodai hivi sasa.
 
When time is right, not when Chadema are in trouble.

..it is not about Chadema, Ccm, or any other political entity, it is about the country.

..Mzee Warioba, Mzee Pinda, and others, have said NOW is the right time to overhaul our constitution.
 
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.

Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.

Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!

Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.

2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Mh. SSH rais wa JMT anayo sauti ya watu ni sauti ya Mungu, hivyo wasikilizwe. Kabla ya mwaka mpya nilipita sehemu moja mtaani nikasikia minongono kwamba ni kweli kuna nyufa zinakaribia kufika kwenye msingi inabidi tuzirekebisha
 
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.

Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.

Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!

Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.

2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Yaani TL huwa mvurugaji wa upepo balaa, halafu anaondokaga na anajitangazia come back kuwa sasa anarudi nyumbani. Sipati picha atakavyowasumbua serikali this time around manake kama hakuwezaga kunyamaza kwa JPM sasa hapa ndio kabisaaa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom