Kwenye siasa kuna mapambano yanayoitwa offensive, defensive na ambush.
TL akirudi 2022 na ku launch offensive politics to attack kwa CCM na Samia, CCM wata play defensive politics na counter attack. Kwa vile the real game is going to played 2025, Lissu akianza 2022 kufikia 2025 atakuwa mbendembende kama mlenda, Samia atateleza kwa ulaini kama bamia!.
Chadema haina kabisa political think tanks wa political tactics. Wangekuwa nao, Lissu wangemleta kwa ambush ile 2025 ndio labda wangempanikisha Samia!.
Japo kwa sasa Lissu anaonekana dependable, nakuhakikishia Lissu ni hakuna kitu mbele ya Samia!. Hata Lissu ni binadamu tuu, dhaifu sana!. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!.
Angalia picha hii
View attachment 2064391
This picture speaks everything!.
Lissu karibu nyumbani, home sweet home.
P