joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Hicho kimbuka atakileta nyumbani kwake na familia yake.
Wewe unanikubali kinyama ndiyo maana unanisoma longtime. Huwezi kuwaambia watu kuwa I am your role modelShida kubwa ya wagonjwa wa akili hukataa maradhi yao, hudhani ni wazima na wanazo akili that's is the biggest problem omba msaada kwa watu wako wa karibu wakushauri.
Tulimshauri akusikiaRais anajikwamisha mwenyewe tu...aweke timu yake kwann anang'ang'ania ile iliyopita?
Hatachoka sana?Mama yetu ni kheri apumzike tu 2025
Anapumzishwa kabla ya 2025.Mama yetu ni kheri apumzike tu 2025
Mkishiba MAKANDE na MKIACHIWA SIMU NA SHEMEJI ZENU BASI manaleta mada ambazo hazina uhalisia. Ni kwa kuwa mmeshika viITEL basi mnatype tu nde nde nde. Yaani LISSU AMSUMBUE RAIS?? Huwa mnatumia makalio kufikiri?? Kwa Brain ya LISSU ya KUROPOKA hata asilolijua??
UPUPU.
ama kweli Siasa hazina rafiki Wala adui wa kudumu Leo hii wewe ndie wa kumpa mikakati Lissu!Kwa ufupi TL apange karata zake vizuri CCM waliobaki wengi ni wezi na wahuni tuliokuwa tunamuunga mkono magu tutaamia kwa TL sababu sisi tunataka rais mkali na mwenye uthubutu na mwenye ufatiliaji wa mambo lwa ukaribu sana kama alivyokuwa marehemu.
Lisu anaweza kuwa na hoja ila ana namna mbaya sana ya kuziwasilisha.
Anawasilisha hoja kama mhuni na sio msomi.
Hilo ndio tatizo lake.
Na ndio anguko lake kwani watanzania wengi hawapendi wahuni.
Aki crossline tu, mtakua mnaenda kumsalimia ukonga,,, [emoji23][emoji23]Huwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...
...tambua Tundu anautaka u Rais wa Tanzania kwa gharama yeyote ile.
...tambua Tundu anarejea na MIKAKATI mahsusi ya namna ya kuiondoa CCM madarakani kutoka kwa wazungu na usifikiri wamewekeza kwa Tundu bure bali muda wote huo wameishi naye wakimuandaa ili aje kuchukua madaraka ili wao walichoki target iwe rahisi kukipata kwalo.
...tambua Tundu hawezi kamwe kuwa na huruma na mwana CCM/mtu yeyote aliyepo CCM kwa namna walivyomfanya.
...2022 ni mwaka mbaya sana kwa CCM kwa sababu kwanza tayari wao kwa wao wamegawanyika na wanatukanana waziwazi!
Yeah, lisu alimwambia makamu wa rais, amfikishie salamu za upendo jpm[emoji23][emoji23]..Maza alisema katumwa na Jiwe.
..ndio maana jamaa wa Ikulu wakacheza mchezo mchafu kutoa kipande cha video Lissu akimshuru Jiwe akiwa kitandani Nairobi.
..kafuatilie vizuri ile habari.
Lisu ni mzuri sana, kama JPM tu,, mtetezi wa wanyonge[emoji23][emoji23]Jamaa anafaa Sana kuwa Raisi wa Tanzania Tatizo Hana watu nyuma yake wanaoeleweka ,Ana watu ambao Wana upeo mdogo Sana .
Leo hii Tundu akipewa nchi niambie hiyo serikali ataunda na akina sugu?
Lisu Ni vile mtata tu ,huyu alipaswa arudi ccm wamwamin huko ccm baadae wamkaribishe had jikon na kumwamin kumpa nchi .
Akishapewa nchi Sasa anawageuka anaenda na falsafa zake na si za ccm maana tayar Dola inakua chini yake .
Hapo hapo anabadir katiba na takataka zote ikiwepo hii ya kuvunja muungano uchwara huu, nje ya ccm simwon kuja kuongoza hili Taifa hata kwa namna yoyote ile
Nadhani Kamanda Asiyechoka ana dalili zote, let's take him as a sample.Hivi mtu kuumwa huo ugonjwa dalili zake huwaje?
Dunia ni kijiji, naweza nikawa New York,, ofisini washington,, shida nini? Kwani mtu akilala dar wikiendi, halafu jumatatu hadi ijumaa yuko job Dodoma, kuna shida gani?..hiyo miradi mikubwa ya Magufuli inayofyonza lila kitu inaweza kumuangusha.
..hii nchi ina matatizo mengi yanayotakiwa kushughulikiwa.
..fedha zinatakiwa zipelekwe maeneo mengi ili wananchi wengi zaidi waone kwamba wameguswa.
..jambo moja ambalo TL amegusia ni kwamba tulitakiwa tutekeleze miradi ya kati ambayo inakamilika haraka, na haitumii fedha nyingi.
..TL amechambua uwepo wa miji mikuu miwili Dodoma na Dsm.
..Je, uamuzi wa kuhamia Dodoma na kutumia fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa mji mkuu ulikuwa wa lazima, au ulikuwa ni mzima tu uliotokana na kauli ya Jpm?
..Sasa tunatumia matrilion ya fedha kujenga Dodoma halafu viongozi hawataki kukaa huko.
..Lingine ni ununuzi wa ndege kwa fedha taslim. Kwanini fedha hizo hazikuelekezwa kwenye pembejeo za wakulima, wafugaji, na wavuvi?
Yaan wanampinga chin chin...aweke timu yakeTulimshauri akusikia
Siro yupo ujue.. [emoji23][emoji23]Kweli kabisa Samia amuwezi Lisu.
ila msikatae Lisu akiwaita lodi kuandamana kama mlivyomkataa alipowaita kuingia lodi uchaguzi uliopita,sawa mkuu?
Umenena mkuuTL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.
Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.
Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.
Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
Yule mkuu huwa akikurupuka tu,anaanzisha uzi.Mara amsifie jiwe.Akikaakaa anaanza kumkosoa Hangaya.Mara ahame chama na ushabiki.Mara arudi .alipotokaRabsha tupu!Nadhani Kamanda Asiyechoka ana dalili zote, let's take him as a sample.