Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,560
- 33,764
Yaani mnyiramba amzidi maneno mtoto wa pwani kweli? [emoji3]Mtoto wa mjini?Kiukweli jamaa anatisha. Muhimu mitutu iwekwe chini wapambane kwa maneno tu.
Yaani mnyiramba amzidi maneno mtoto wa pwani kweli? [emoji3]Mtoto wa mjini?Kiukweli jamaa anatisha. Muhimu mitutu iwekwe chini wapambane kwa maneno tu.
Ana bifu na Mbowe la milele, sijui alimfanya niniYule mkuu huwa akikurupuka tu,anaanzisha uzi.Mara amsifie jiwe.Akikaakaa anaanza kumkosoa Hangaya.Mara ahame chama na ushabiki.Mara arudi .alipotokaRabsha tupu!
😅😅😅Kamanda asiyechoka kama Chahali. Anaangalia maslahi yanapoonekana mwangaza.Yule mkuu huwa akikurupuka tu,anaanzisha uzi.Mara amsifie jiwe.Akikaakaa anaanza kumkosoa Hangaya.Mara ahame chama na ushabiki.Mara arudi .alipotokaRabsha tupu!
Nahisi ni Benson Mramba. Kaja na ID mpya. Baada ya kumjua kiundani.Ana bifu na Mbowe la milele, sijui alimfanya nini
Kauli za Lissu ni za kisiasa tu. Mwisho wa siku zaidi ya kuchukua umaarufu wa kisiasa tu hazimzuii Rais Kufanya kazi zakw kwa mafanikio.Huyu mleta mada anaumwa mavi, Lissu atarudi na maisha yataendelea, Mtu strong kama Samia hawezi kuhangaika na kauli za Lissu, Only WASHAMBA can do that
Wale wa kundi fulani wakisikia kauli hizi Kwa Samia suluhu wanamchukia sana. Hawapendi Nchi yenye amani na upendo. Wao wanataka shari tu. Yaani kwao Wapinzani ni wahaini
Insha AllahTUNDU LISSU IS BACK
Shida ni kwamba, utawala wa SSH hautakua na scandal kama zile za kuchonga kama kagoda,, maana kila kitu kinawekwa wazi,, sasa Lisu atapambana kwa points zipi.. maana hii serikali imekuwa faster sana kurekebisha mapungufu kuliko serikali zilizopita,,CCM hawajui siasa, siasa zao ziko polisi,kuteka wenzao, kupiga watu risasi ila Mama njia hizi hatapendelea kuzitumia sana katika utawala wake, isipokuwa atawekeza nguvu kubwa kuwapeleka jela wapinzani wake wa vyama pinzani.
Na hii ndio njia atakayoitumia kumunyamazisha Lissu, njia nyingine ambayo anaweza kuitumia kumunyamazisha Lissu lakini ambayo hata kuwa tayari kuitumia ni kukubaliana na madai ya Lissu ya kudai katiba mpya,tofauti na hapo kwenye uwanja huru hakuna CCM yeyote anayemuweza Lissu.
Ni kweli Chief, watu wataongea sanaa, na waachwe waongee, tuna watu 60 mil, haiwezekani wote wakakubaliana na maamuzi yako, kama ambavyo JPM, Mbowe, Kikwete, Lipumba na wengine wote wanaopingwa kila siku na watu mbalimbali, Samia naye ana haki ya kupingwaKauli za Lissu ni za kisiasa tu. Mwisho wa siku zaidi ya kuchukua umaarufu wa kisiasa tu hazimzuii Rais Kufanya kazi zakw kwa mafanikio.
Mzee wa Twende na...Twende na TL 2025
Huyo si anaenda TLP au? [emoji44]Mzee wa Tende na...
Ndugai umemuacha tena?[emoji38]
Hii ni roho ya kuku...acha woga wa kibongo mkuu.TL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.
Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.
Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.
Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
Tundu Lisu alishajimaliza mwenyewe. Huwezi kumkashfu JPM hadharani halafu utegemee watz wakuelewe!!Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.
Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.
Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!
Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.
2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Tundu Lissu atakuja TZ mwaka 2025 kwenye mradi wake wa kugombea urais wa JMT. Na ujue japokuwa viongozi wa CHADEMA wanadai hawatashiriki uchaguzi bila tume huru yeye Lissu atahakikisha anagombea japo ana uhakika wa kushindwa ila kwake ni mradi unaolipanvizuri. Kuna dhana kuwa Lissu anaomba Mbowe afungwe jela ili iwe rahisi kwake kugombea kwa sababu atakuwa kaimu mwenyekiti. Kwenye uchaguzi Lissu anawadanganya mabeberu kuwa atashinda na wanampa pesa nyingi wakiamini kuwa akishinda atabadilisha zile sheria za madini zilizoboreshwa wakati wa Magufuli. Na hata pesa inayochangishwa kwenye kampeni zake hazikusanywi na CHADEMA bali ndugu zake ili ionekane michango inafadhilikampeni kuwa ni pesa za mabeberu. Na picha nyingi lazima zitumwe ku-retire imprest yapesa alozopokea. Kwa nini Lissu adanganye kuwa anakuja 2022 wakati anasubiri kipindi cha uchaguzi 2025?Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.
Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.
Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!
Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.
2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Nawashangaa watu wanaochukulia kama vita. Hata Bideni anapingwa wazi wazi na anaendelea kudunda.Ni kweli Chief, watu wataongea sanaa, na waachwe waongee, tuna watu 60 mil, haiwezekani wote wakakubaliana na maamuzi yako, kama ambavyo JPM, Mbowe, Kikwete, Lipumba na wengine wote wanaopingwa kila siku na watu mbalimbali, Samia naye ana haki ya kupingwa
..tatizo ni kwamba intellectually TL yuko vizuri kuliko SSH.
..labda serikali wahakikishe kwamba vyombo vyote vya habari havifuatilii au haviripoti jambo lolote linalomhusu TL.
..chukulia mfano wa hotuba mbili za mwaka mpya zilizotolewa na SSH na TL.
..kilichomfanya SSH afunikwe kwa kiwango hiki ni nini wakati ana watu na resources chungu nzima?
..Uwanja wa kisiasa ukiwa sawa TL anaweza kuwa tatizo.
Mtu yotote anaye mshabikia Tundu Lisu ni wa kupimwa akiliUjio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.