Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] shukran ya nini taga
 
Mimi ni MBA holder, kama hujui uandishi wa tafsida shauri yako.

Lissu hata kama anataka uRais wa Tz, akijichanganya kumponda Mama tu, itakula kwake big time. Hizi ni principle za maisha tu ndiyo maana nimesema atalaanika.

Halafu uRais wa Tz watu wote waliouvalia njuga, hawajawahi kuupata. Angalia akina Salim Ahmed Salim (akapata Mwinyi), Kolimba na Malecela (akapata Mkapa), Sumaye na Kigoda ( akapata Kikwete), Lowassa na Membe ( akapata Magufuli)

Na sasa ni Samia. Kama CDM kuna siku watapata uongozi wa Nchi hii, Rais atakuwa siyo Lissu au Mbowe. Take it from me wewe Sikuma Gang
 
Imeisha iyo yaani miaka ya 2016na2017 Magu alikuwa na stress yaani kila alichokofanya Lissu alikichallenge,,,Lissu anajua kukera[emoji1][emoji1]
 
Leta hiyo text hapa

..Maza alisema katumwa na Jiwe.

..ndio maana jamaa wa Ikulu wakacheza mchezo mchafu kutoa kipande cha video Lissu akimshuru Jiwe akiwa kitandani Nairobi.

..kafuatilie vizuri ile habari.
 
Kama serikali inapanic kinoma kisa Lissu anahutubia Basi Lissu ni hatari
 
Samahani lakini, ashakumu si matusi... wewe jamaa una uwendazimu kidogo, unateswa na kivuli cha marehemu vibaya mno. Nilidhani ni uoga tu ila ni uwendawazimu.
Na bado utakerwa sana na posts zangu. Chagua kutosoma ndiyo utasalimika. Magufuli alikuwa shetani na lazima Dunia ijuwe
 
Nye nye Nye,,,Yaani Hangaya mbele ya Lissu Ni mweupe Sana, Mbowe mwenyewe kampanikisha Hadi kampa bogus terrorism charges
 
Lissu Ni habari nyingne
 
Nimekuambia ukweli, una tatizo la akili, Kwaheri.
Wewe kt the irreplaceable kama mimi Nina matatizo ya akili why the fu..k are you reading all my posts?

You either admire me, accept me or feel you were me. Short of that you are a sycophant. Kwa nini usome na kumjibu mtu mwenye matatizo ya akili.?

Nyie mnaidhani Magufuli katenda makubwa kwa Tanzania ndiyo mna matatizo makubwa. Hamna uwezo wa kuchanganua ukweli na uwongo. Stay away from big brains dude
 
Twende na TL 2025
Jamaa anafaa Sana kuwa Raisi wa Tanzania Tatizo Hana watu nyuma yake wanaoeleweka ,Ana watu ambao Wana upeo mdogo Sana .
Leo hii Tundu akipewa nchi niambie hiyo serikali ataunda na akina sugu?
Lisu Ni vile mtata tu ,huyu alipaswa arudi ccm wamwamin huko ccm baadae wamkaribishe had jikon na kumwamin kumpa nchi .
Akishapewa nchi Sasa anawageuka anaenda na falsafa zake na si za ccm maana tayar Dola inakua chini yake .

Hapo hapo anabadir katiba na takataka zote ikiwepo hii ya kuvunja muungano uchwara huu, nje ya ccm simwon kuja kuongoza hili Taifa hata kwa namna yoyote ile
 
🤣😂 bado naisubiri sana hiyo Tanzania ya TL kuja kuwa Raisi, kama ningepata nafasi ya kusema neno hata kinafiki ningewaambia tu CDM waanze kuandaa mgombea mpya na sera mpya kwa TL na hao mamliuki wengine watasubiri sana .😀
 
Ana kazi kubwa Sana Mana kapata uongozi nchi ikiwa na tahaluki kubwa kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru.Nchi imegawanyika kisiasa,hAli ya uchumi ni mbaya Sana,Miradi ni mikubwa na inahitaji Matirion kuikamilisha,ajira Bado ni tatizo,swala la katiba mpya,kwa haya inabdi mama asaidiwe la sivyo ataekemewa na mwisho wa siku ni kuja kupaniki na kupoteza nwekekeo .
 

Kumwita maushungi haibadilishi kitu. Yeye atamuita maushungi, na mama samia akimuita mlemavu wa mguu atakuwa amekosea japo co sawa kuitana ivyo Mungu hapendi.
 
Mbona jobu kasema mkimgusa tu atanuka na mnada uko palepale
Jobu nae maulevi mengi,unajua anamhaho wa kiaina flani hivi.amekua mlalamikaji wakati yeye ndo kiongozi wa mhimili mmoja wa serikali.matakataka kibao yanapitishwa huko kwenye mhimili wake alafu eti leo analalamika!
 
Siku hizi Unajitahidi Sana kwa mapambio hongera Sana kijana,jitahdi utafika mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…