GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.
Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na Hoja zao kuonekana zina Mashiko TFF, Bodi ya Ligi (TPLB) na Serikali (Wizara husika) wameamua KUBALANSI MZANI ili Kuzifurahisha Klabu zote mbili.
Kwakuwa Simba SC waligoma Kucheza tarehe 8 Machi, 2025 kama ambavyo ilipangwa na Yanga SC nao wameshagoma Kucheza tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa.
Hivyo kinachoenda kufanyika (na hili Viongozi wote wa Simba na Yanga wanajua na wamekubaliana nalo 100%) ni kwamba baada ya Yanga SC kutotokea tarehe 15 Juni, 2025 MZANI utakuwa UMESHABALANSI hivyo kitakochoenda kufanyika ni safari hii TFF na Bodi ya Ligi TPLB kuviita Vilabu vyote MEZANI na kumaliza TOFAUTI kisha tarehe rasmi ya Mechi yao Kupangwa na hili Vilabu vyote vitakubali na kuridhia Kucheza bila SHARTI lolote lile.
Wana Simba SC ambao mtanunua Tiketi zenu kwa Mechi ya tarehe 15 Juni, 2025 jiandaeni Kisaikolojia kwani Mechi HAKUNA ila mmezugwa tu lakini Uongozi wa Simba SC imeshakubaliana na huu MKAKATI wa SIRI wa KUBALANSI MZANI na mechi yao ipangwe upya kwa pande zote mbili KURIDHIA kucheza.