Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

Kaka yangu Mara hatujawahi toa boko. Ni watu wenye maakili sana, ndiyo maana hata tukawapa Uhuru Watanganyika. Uzi wako umeutendea haki, ndicho kilichotokea hongera [emoji122][emoji122][emoji122] GENTAMYCINE
Huyu huwa anachokifanya, hana tofauti na mtu anayebeti mkeka wa Real Madrid vs Valencia kisha anaandaa mikeka mitatu tofauti halafu mkeka wa kwa kwanza anampa ushindi Real Madrid halafu mkeka wa pili anampa Madrid sare kisha mkeka wa tatu anamuua Madeid kwa kumpa ushindi Valencia.
Hapo vipi?
 
Hater.....hovyooooo......!!!!!!!
 
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.

Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.

Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na Hoja zao kuonekana zina Mashiko TFF, Bodi ya Ligi (TPLB) na Serikali (Wizara husika) wameamua KUBALANSI MZANI ili Kuzifurahisha Klabu zote mbili.

Kwakuwa Simba SC waligoma Kucheza tarehe 8 Machi, 2025 kama ambavyo ilipangwa na Yanga SC nao wameshagoma Kucheza tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa.

Hivyo kinachoenda kufanyika (na hili Viongozi wote wa Simba na Yanga wanajua na wamekubaliana nalo 100%) ni kwamba baada ya Yanga SC kutotokea tarehe 15 Juni, 2025 MZANI utakuwa UMESHABALANSI hivyo kitakochoenda kufanyika ni safari hii TFF na Bodi ya Ligi TPLB kuviita Vilabu vyote MEZANI na kumaliza TOFAUTI kisha tarehe rasmi ya Mechi yao Kupangwa na hili Vilabu vyote vitakubali na kuridhia Kucheza bila SHARTI lolote lile.

Wana Simba SC ambao mtanunua Tiketi zenu kwa Mechi ya tarehe 15 Juni, 2025 jiandaeni Kisaikolojia kwani Mechi HAKUNA ila mmezugwa tu lakini Uongozi wa Simba SC imeshakubaliana na huu MKAKATI wa SIRI wa KUBALANSI MZANI na mechi yao ipangwe upya kwa pande zote mbili KURIDHIA kucheza.
Kwa nilivyoona,simba na yanga haziheshimu bodi ya ligi wala tff but mabosi wa nchi wanaowasaidia wazamini wao kupata hela
 
Umebugi Dingi...hahaha
 
Ukifatilia hii kitu unaweza, ukafikiri ni, jambo la maana Sana, kama vile hiyo mech ikichezwa basi, Nchi itaingiza tilioni 40 kwa siku moja,au, nafasi za ajira milioni kumi zitapatikana, au hiyo mechi itawezesha kupata tekinolojia ya kutengeneza land cruiser v8!
Figisu zote hz, zinafsnywa na kenge wa CCM Ku divert attention ya nchi katika Mambo ya hovyo ya nchi hii,
 
Hater.....hovyooooo......!!!!!!!
Ili niwe hater na sio muongeaa ukweli ulipaswa kukana kuwa uzi ulizozileta kusema Yanga lazima watacheza tarehe 15 kuwa sio zako au uliandika ukiwa umelewa. Lakini kuishia kusema hater wakati makaburini tukifungua umetanguliza nyuzi kibao ulizojiaminisha kuwa za ndani kabisa Yanga lazima tarehe 15 waingize timu ndio masharti yaliyotolewa ili viongozi wapate ubunge maanake hujui unachosimamia na wala hauna za ndani ila ni sawa na anayebeti mechi moja kwa mikeka ya aina tatu ambayo inajulikana possibly lazima itokee.

Hizi nyuzi ziliandikwa mfululizo tena ulijitapa ni za ndani kabisa. Kukosa msimamo ni dhahiri hujui ya ndani bali unabeti tu.View attachment 3367678
IMG_20250614_081456.jpg
View attachment 3367679
 
Ili niwe hater na sio muongeaa ukweli ulipaswa kukana kuwa uzi ulizozileta kusema Yanga lazima watacheza tarehe 15 kuwa sio zako au uliandika ukiwa umelewa. Lakini kuishia kusema hater wakati makaburini tukifungua umetanguliza nyuzi kibao ulizojiaminisha kuwa za ndani kabisa Yanga lazima tarehe 15 waingize timu ndio masharti yaliyotolewa ili viongozi wapate ubunge maanake hujui unachosimamia na wala hauna za ndani ila ni sawa na anayebeti mechi moja kwa mikeka ya aina tatu ambayo inajulikana possibly lazima itokee.

Hizi nyuzi ziliandikwa mfululizo tena ulijitapa ni za ndani kabisa. Kukosa msimamo ni dhahiri hujui ya ndani bali unabeti tu.View attachment 3367678View attachment 3367680View attachment 3367679
Baada ya kuandika huu Uzi siku mbili baadae niliandika Uzi gani na kimetokea nini katika huo Uzi wangu wa Pili? Juha na Mnafiki mkubwa Wewe.
 
Ifikie wakati mashabiki wa simba wapunguze umbumbumbu wa kuibiwa mara kwa mara hela zao kwa kununua tiketi za michezo hewa.

Kama wenyeji wa huo mchezo wamesema hawatapeleka timu uwanjani! Halafu viongozi wa timu yenu wanawaambia mnunue tiketi! Hivi hamuoni wanataka wawaingize tena mkenge kama walivyofanya kwenye ile mechi ya pili ya fainali dhidi ya Rs Berkane!!
Hivi kumbe pale walipigwa hela kijanja ehhh !??
 
Baada ya kuandika huu Uzi siku mbili baadae niliandika Uzi gani na kimetokea nini katika huo Uzi wangu wa Pili? Juha na Mnafiki mkubwa Wewe.
Wewe mtu mfupi ni mpiga ramli tu, ulisema watacheza bila mashariti yoyote wakati mashariti ya yanga kwa sehemu yake yametekelezwa
 
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.

Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.

Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na Hoja zao kuonekana zina Mashiko TFF, Bodi ya Ligi (TPLB) na Serikali (Wizara husika) wameamua KUBALANSI MZANI ili Kuzifurahisha Klabu zote mbili.

Kwakuwa Simba SC waligoma Kucheza tarehe 8 Machi, 2025 kama ambavyo ilipangwa na Yanga SC nao wameshagoma Kucheza tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa.

Hivyo kinachoenda kufanyika (na hili Viongozi wote wa Simba na Yanga wanajua na wamekubaliana nalo 100%) ni kwamba baada ya Yanga SC kutotokea tarehe 15 Juni, 2025 MZANI utakuwa UMESHABALANSI hivyo kitakochoenda kufanyika ni safari hii TFF na Bodi ya Ligi TPLB kuviita Vilabu vyote MEZANI na kumaliza TOFAUTI kisha tarehe rasmi ya Mechi yao Kupangwa na hili Vilabu vyote vitakubali na kuridhia Kucheza bila SHARTI lolote lile.

Wana Simba SC ambao mtanunua Tiketi zenu kwa Mechi ya tarehe 15 Juni, 2025 jiandaeni Kisaikolojia kwani Mechi HAKUNA ila mmezugwa tu lakini Uongozi wa Simba SC imeshakubaliana na huu MKAKATI wa SIRI wa KUBALANSI MZANI na mechi yao ipangwe upya kwa pande zote mbili KURIDHIA kucheza.
Mpira wa Bongo bhana, utadhani timu za Mpira wa miguu ni Simba na Yanga tu, na kwamba ndo timu pekee zenye haki fulani fulani, na timu zingine ni mandondocha tu

Mtu unajuliza inakuwaje kuwaje timu ambayo tayari inayo ratiba ya michezo (fixtures) yake iliyokwisha kupangwa muda mrefu halafu inafika siku ya mchezo timu haitokei bila sababu za msingi na bado inaachwa tu bila taratibu, kanuni na sheria kutumika kuiadhibu timu hiyo?

Hii mimi inanishangaza sana, kwani badala ya mamlaka zinazosimamia taaluma hii ya Mpira wa miguu kuchukua hatua kwa timu inayovunja sheria, taratibu na kanuni ili kulinda heshima na hadhi ya Mpira wa miguu, kinyume chake mamlaka husik zina - entertain mijadala na malumbano yanayoua maendeleo ya Mpira wa miguu hapa nchini..

Ni lazima tujifunze kutoka Italy. Miaka ya nyuma timu kubwa na maarufu ikiwemo Juventus FC zilijihusisha na ulaghai na uvunjifu wa sheria za Mpira wa miguu kwa kupanga matokeo. Ilipothibitika, sheria haikuwaonea huruma wala kuwa na mjadala nayo eti kwa kuwa ni klabu kubwa. Walipigwa fine kubwa sana na kushushwa daraja. Leo hii wana adabu na heshima kwa sheria za Mpira wa miguu

Mathalani, kulikuwa na ugumu gani kwa sheria kuchukua mkondo wake kwa kutoa point 3 kwa Yanga na goli 2 siku ile ile ya kwanza tu ya ratiba ya michezo wao kati ya Yanga vs Simba na Simba ilipoacha kutokea uwanjani bila sbb zinazokubalika?

Ilipaswa wanyang'anywe points, wapigwe fine kubwa ya kuwafilisi kabisa na wakiendelea kuleta ubishi, washushwe daraja au kufungiwa kabisa kucheza Mpira wa miguu miaka hata miwili Ili wapate adabu na wajifunze kuheshimu sheria na taratibu za Game of Football..

Kwa kufanya hivi, ingesaidia hata kufanya timu zingine ziinuke na kuanza kuleta ushindani ktk Soka letu na ukirutimba wa u-Yanga na u-Simba utoke kwenye mindset za watu. Tutaendelea na Yanga na Simba tu hadi lini?

Tatizo la kutofuata utaratibu na sheria huzaa matatizo mengi sana zaidi kama haya yanayoendelea sasa. Sitashangaa timu Moja kutotokea uwanjani tena hata hiyo trh 25/6/2025

Haya mambo ni ya hovyo sana na yanaharibu kabisa ladha ya Mpira wa miguu (football).

Timu zingine zinazoshiriki ligi Moja hii hii ambayo Yanga na Simba zinashiriki zinajisikiaje kuona kuwa hizi timu mbili ni kama zinapata special treatment ya upendeleo fulani kwa kukanyaga sheria za Mpira waziwazi kiasi cha kuharibu kabisa ladha ya Mpira wa miguu?
 
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.

Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.

Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na Hoja zao kuonekana zina Mashiko TFF, Bodi ya Ligi (TPLB) na Serikali (Wizara husika) wameamua KUBALANSI MZANI ili Kuzifurahisha Klabu zote mbili.

Kwakuwa Simba SC waligoma Kucheza tarehe 8 Machi, 2025 kama ambavyo ilipangwa na Yanga SC nao wameshagoma Kucheza tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa.

Hivyo kinachoenda kufanyika (na hili Viongozi wote wa Simba na Yanga wanajua na wamekubaliana nalo 100%) ni kwamba baada ya Yanga SC kutotokea tarehe 15 Juni, 2025 MZANI utakuwa UMESHABALANSI hivyo kitakochoenda kufanyika ni safari hii TFF na Bodi ya Ligi TPLB kuviita Vilabu vyote MEZANI na kumaliza TOFAUTI kisha tarehe rasmi ya Mechi yao Kupangwa na hili Vilabu vyote vitakubali na kuridhia Kucheza bila SHARTI lolote lile.

Wana Simba SC ambao mtanunua Tiketi zenu kwa Mechi ya tarehe 15 Juni, 2025 jiandaeni Kisaikolojia kwani Mechi HAKUNA ila mmezugwa tu lakini Uongozi wa Simba SC imeshakubaliana na huu MKAKATI wa SIRI wa KUBALANSI MZANI na mechi yao ipangwe upya kwa pande zote mbili KURIDHIA kucheza.
Yametimia
 
Back
Top Bottom