GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
tiketi zinauzwa wapi na mie niwahi kununua ili mzani ukibalance niwe siti ya mbele kabisa!Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.
Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na Hoja zao kuonekana zina Mashiko TFF, Bodi ya Ligi (TPLB) na Serikali (Wizara husika) wameamua KUBALANSI MZANI ili Kuzifurahisha Klabu zote mbili.
Kwakuwa Simba SC waligoma Kucheza tarehe 8 Machi, 2025 kama ambavyo ilipangwa na Yanga SC nao wameshagoma Kucheza tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa.
Hivyo kinachoenda kufanyika (na hili Viongozi wote wa Simba na Yanga wanajua na wamekubaliana nalo 100%) ni kwamba baada ya Yanga SC kutotokea tarehe 15 Juni, 2025 MZANI utakuwa UMESHABALANSI hivyo kitakochoenda kufanyika ni safari hii TFF na Bodi ya Ligi TPLB kuviita Vilabu vyote MEZANI na kumaliza TOFAUTI kisha tarehe rasmi ya Mechi yao Kupangwa na hili Vilabu vyote vitakubali na kuridhia Kucheza bila SHARTI lolote lile.
Wana Simba SC ambao mtanunua Tiketi zenu kwa Mechi ya tarehe 15 Juni, 2025 jiandaeni Kisaikolojia kwani Mechi HAKUNA ila mmezugwa tu lakini Uongozi wa Simba SC imeshakubaliana na huu MKAKATI wa SIRI wa KUBALANSI MZANI na mechi yao ipangwe upya kwa pande zote mbili KURIDHIA kucheza.
Wewe hutaki kupiga magendo ya tiketi hiyo tatehe 15 kweli ?Unatuzubaisha ili ujekutulangua!Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.
Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na Hoja zao kuonekana zina Mashiko TFF, Bodi ya Ligi (TPLB) na Serikali (Wizara husika) wameamua KUBALANSI MZANI ili Kuzifurahisha Klabu zote mbili.
Kwakuwa Simba SC waligoma Kucheza tarehe 8 Machi, 2025 kama ambavyo ilipangwa na Yanga SC nao wameshagoma Kucheza tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa.
Hivyo kinachoenda kufanyika (na hili Viongozi wote wa Simba na Yanga wanajua na wamekubaliana nalo 100%) ni kwamba baada ya Yanga SC kutotokea tarehe 15 Juni, 2025 MZANI utakuwa UMESHABALANSI hivyo kitakochoenda kufanyika ni safari hii TFF na Bodi ya Ligi TPLB kuviita Vilabu vyote MEZANI na kumaliza TOFAUTI kisha tarehe rasmi ya Mechi yao Kupangwa na hili Vilabu vyote vitakubali na kuridhia Kucheza bila SHARTI lolote lile.
Wana Simba SC ambao mtanunua Tiketi zenu kwa Mechi ya tarehe 15 Juni, 2025 jiandaeni Kisaikolojia kwani Mechi HAKUNA ila mmezugwa tu lakini Uongozi wa Simba SC imeshakubaliana na huu MKAKATI wa SIRI wa KUBALANSI MZANI na mechi yao ipangwe upya kwa pande zote mbili KURIDHIA kucheza.
Hii mechi itasogezwa mbele hadi uchaguzi upite serikali inapenda sana ku brain. Wash watzIle ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.
Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na Hoja zao kuonekana zina Mashiko TFF, Bodi ya Ligi (TPLB) na Serikali (Wizara husika) wameamua KUBALANSI MZANI ili Kuzifurahisha Klabu zote mbili.
Kwakuwa Simba SC waligoma Kucheza tarehe 8 Machi, 2025 kama ambavyo ilipangwa na Yanga SC nao wameshagoma Kucheza tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa.
Hivyo kinachoenda kufanyika (na hili Viongozi wote wa Simba na Yanga wanajua na wamekubaliana nalo 100%) ni kwamba baada ya Yanga SC kutotokea tarehe 15 Juni, 2025 MZANI utakuwa UMESHABALANSI hivyo kitakochoenda kufanyika ni safari hii TFF na Bodi ya Ligi TPLB kuviita Vilabu vyote MEZANI na kumaliza TOFAUTI kisha tarehe rasmi ya Mechi yao Kupangwa na hili Vilabu vyote vitakubali na kuridhia Kucheza bila SHARTI lolote lile.
Wana Simba SC ambao mtanunua Tiketi zenu kwa Mechi ya tarehe 15 Juni, 2025 jiandaeni Kisaikolojia kwani Mechi HAKUNA ila mmezugwa tu lakini Uongozi wa Simba SC imeshakubaliana na huu MKAKATI wa SIRI wa KUBALANSI MZANI na mechi yao ipangwe upya kwa pande zote mbili KURIDHIA kucheza.
Mechi hakuna mashabik wa Simba awelewiIle ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.
Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na Hoja zao kuonekana zina Mashiko TFF, Bodi ya Ligi (TPLB) na Serikali (Wizara husika) wameamua KUBALANSI MZANI ili Kuzifurahisha Klabu zote mbili.
Kwakuwa Simba SC waligoma Kucheza tarehe 8 Machi, 2025 kama ambavyo ilipangwa na Yanga SC nao wameshagoma Kucheza tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa.
Hivyo kinachoenda kufanyika (na hili Viongozi wote wa Simba na Yanga wanajua na wamekubaliana nalo 100%) ni kwamba baada ya Yanga SC kutotokea tarehe 15 Juni, 2025 MZANI utakuwa UMESHABALANSI hivyo kitakochoenda kufanyika ni safari hii TFF na Bodi ya Ligi TPLB kuviita Vilabu vyote MEZANI na kumaliza TOFAUTI kisha tarehe rasmi ya Mechi yao Kupangwa na hili Vilabu vyote vitakubali na kuridhia Kucheza bila SHARTI lolote lile.
Wana Simba SC ambao mtanunua Tiketi zenu kwa Mechi ya tarehe 15 Juni, 2025 jiandaeni Kisaikolojia kwani Mechi HAKUNA ila mmezugwa tu lakini Uongozi wa Simba SC imeshakubaliana na huu MKAKATI wa SIRI wa KUBALANSI MZANI na mechi yao ipangwe upya kwa pande zote mbili KURIDHIA kucheza.
Kwani wakinunua na mechi isiwepo, kuna shida gani?Kama wenyeji wa huo mchezo wamesema hawatapeleka timu uwanjani! Halafu viongozi wa timu yenu wanawaambia mnunue tiketi! Hivi hamuoni wanataka wawaingize tena mkenge kama walivyofanya kwenye ile mechi ya pili ya fainali dhidi ya Rs Berkane!!
Ni wapi ambapo hakuna siasa bongo hii tena bahati mbaya siasa yenyewe chafu.Aibu sana!siasa kwenye michezo!
Ni kwamba hela za mashabiki wenu hazina shughuli nyingine za kufanya, au mnawaonea kwa sababu tu ya umbumbumbu wao?Kwani wakinunua na mechi isiwepo, kuna shida gani?
hakuna shida, zitamsaidia MoDewji kupanda chati za utajiri AfrikaKwani wakinunua na mechi isiwepo, kuna shida gani?
Mo Dewji akipanda chati za utajiri Afrika, inakupa shida?hakuna shida, zitamsaidia MoDewji kupanda chati za utajiri Afrika
Asa huu ni ushauri au kutunanga.Ifikie wakati mashabiki wa simba wapunguze umbumbumbu wa kuibiwa mara kwa mara hela zao kwa kununua tiketi za michezo hewa.
Kama wenyeji wa huo mchezo wamesema hawatapeleka timu uwanjani! Halafu viongozi wa timu yenu wanawaambia mnunue tiketi! Hivi hamuoni wanataka wawaingize tena mkenge kama walivyofanya kwenye ile mechi ya pili ya fainali dhidi ya Rs Berkane!!
Simba wanadai watacheza sijui watacheza na Timu gani.Ifikie wakati mashabiki wa simba wapunguze umbumbumbu wa kuibiwa mara kwa mara hela zao kwa kununua tiketi za michezo hewa.