Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

 
Ramli
 
Kwahiyo kumbe shida ya Yanga ni wao kugoma pia ili "watoe droo" na Simba, basi?
Itakuwa ajabu sana!!
 
kitakochoenda kufanyika ni safari hii TFF na Bodi ya Ligi TPLB kuviita Vilabu vyote MEZANI na kumaliza TOFAUTI kisha tarehe rasmi ya Mechi yao Kupangwa na hili Vilabu vyote vitakubali na kuridhia Kucheza bila SHARTI lolote lile.
Popoma, Yanga hawatacheza mechi ya tarehe 15 na mechi nyingine za ligi zilizosalia
 
Swali fikirishi je CRD confederation cup itachezwa hiyo tarehe 28-06-2025
 
Yametimia
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki. Mshukuruni sana Mwenyezi Mungu kwa kuwa na Mtu kama Mimi duniani na hasa hapa JamiiForums. HATERS wangu msione aibu kuja kuendeleza Chuki zenu Kwangu ila mkae mkijua kuwa NIMEBARIKIWA TUNU nyingi na Mwenyezi Mungu kuliko nyie na bado NITAWATESA na MTATESEKA mno na Mimi.

Imeisha hiyo.....!!!!!!!

Cc: ANT DRUGS
 
Hivi kuna watu bado wanamuamin huyu zuz.u?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki. Mshukuruni sana Mwenyezi Mungu kwa kuwa na Mtu kama Mimi duniani na hasa hapa JamiiForums. HATERS wangu msione aibu kuja kuendeleza Chuki zenu Kwangu ila mkae mkijua kuwa NIMEBARIKIWA TUNU nyingi na Mwenyezi Mungu kuliko nyie na bado NITAWATESA na MTATESEKA mno na Mimi.

Imeisha hiyo.....!!!!!!!
 
Hapa Mzee wa kujinadi, kazi kwako uwanja ni wako maana waliokukabidhi tunguli, umelitendea haki
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki. Mshukuruni sana Mwenyezi Mungu kwa kuwa na Mtu kama Mimi duniani na hasa hapa JamiiForums. HATERS wangu msione aibu kuja kuendeleza Chuki zenu Kwangu ila mkae mkijua kuwa NIMEBARIKIWA TUNU nyingi na Mwenyezi Mungu kuliko nyie na bado NITAWATESA na MTATESEKA mno na Mimi.

Imeisha hiyo.....!!!!!!!
 
Ubongo wako kamasi naweza kuthibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…