Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Akili za ccm hizi
 
Nadhani ni hulka mbaya tu za baadhi yetu....ila wako wenye maarifa ya kutambua umuhimu wa miti.....

Mwafrika gani mjinga ataidharau miti ilihali mpaka leo hii wanaokwenda hospitali ni 70% tu ?!!
Hakika Africa imebarikiwa sana ila ukiwa na baraka bila maono ni kazi bure, inahitajika juhudi nyingi sana kwenye hili kama ilivyo sasa kwenye maswala ya ushabiki wa mpira na siasa.
 
Kuna bro wangu mtoto wa Mama Mkubwa sitakuja kumsamehe kwa kukata miti nyumbani kwa babu mzaa mama ili auze mbao. Yule mwehu alikata miti ya maembe, maparachichi na miti mingine ya asili ili auze mbao. Cha kushangaza kwa sasa ni kapuku ambaye hata buku kuwa nayo ni mtihani.
 
Hakika Africa imebarikiwa sana ila ukiwa na baraka bila maono ni kazi bure, inahitajika juhudi nyingi sana kwenye hili kama ilivyo sasa kwenye maswala ya ushabiki wa mpira na siasa.
Hakika mkuu wangu....

Hayati JPM alipata kusema "nje hatuna wajomba...".

Tafsiri yake ni pana ila kubwa tu BINADAMU anajikomboa mwenyewe pale atakapotaka....
 
Mkuu wangu hiyo "sayansi" ina mambo mengi.......

Mbaazi unaweza kuzuia na "kubonda kisayansi"....ila isiwe mingi nyumbani kwako.....

Ikiwa mingi basi ujue "terminal 3" umeihamishia hapo kwako....
Eti kwa sayansi ya asili ya kiafrika kwamba ukifunga mti wa mbaazi na mti wa muhogo au kisamvu unazuia wapumbavu kuingia nyumbani kwako? Mbona mimi nimefanya hivyo still wanakuja kwangu sema wameshajua nawapuuza kwa maana kila wakija jicho langu la tatu linafunguka wanapotea kama upepo.
Pana siku nimemuona dogo mmoja hivi kavaa jinsi blue na tishet nyekundu age kati ya 24 to 28 akija usawa wangu nikainuka automatic kitandani nimemnyooshea mkono namfuata kwa Imani kuu nikitamka damu ya Yesu ikupige wewe hadi na madhabau unayotoka ndani ya sekunde akapotea kwenye ukuta.
Wachawi wapo live kama sio mtu wa spiritual huwezi elewa
 
Pole sana...huyo "bro wako " tamaa nyingi ,hana akili na mlevi mbwa.....
Umeona sasa ameikata miti hiyo "bila kanuni" na ameikasirisha mizimu na imeamua kumuadhibu....mwone alivyo sasa ha ha ha
 
....wewe ni mtu wa "spiritual sana" una zawadi kutoka kwa mfalme wa majeshi....si kwa ajili ya kufanya maombi pekee bali wewe una hizo nguvu kubwa.....

Hallelujah !!

#YetzerHatov!
 
....wewe ni mtu wa "spiritual sana" una zawadi kutoka kwa mfalme wa majeshi....si kwa ajili ya kufanya maombi pekee bali wewe una hizo nguvu kubwa.....

Hallelujah !!

#YetzerHatov!
Mimi wachawi au majini siwaogopi kwa sababu Sina ushirika nao au bifu nao tukikutana ktk spiritual world 🌎 kila mtu na hamsini zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…