Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
mpanga uzazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za ccm hiziThis is Africa and its traditions
Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako
1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu
Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio
Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina.
Chukua tahadhari Jilinde na Imani yako
View attachment 3245114
Hakika Africa imebarikiwa sana ila ukiwa na baraka bila maono ni kazi bure, inahitajika juhudi nyingi sana kwenye hili kama ilivyo sasa kwenye maswala ya ushabiki wa mpira na siasa.Nadhani ni hulka mbaya tu za baadhi yetu....ila wako wenye maarifa ya kutambua umuhimu wa miti.....
Mwafrika gani mjinga ataidharau miti ilihali mpaka leo hii wanaokwenda hospitali ni 70% tu ?!!
Kuna bro wangu mtoto wa Mama Mkubwa sitakuja kumsamehe kwa kukata miti nyumbani kwa babu mzaa mama ili auze mbao. Yule mwehu alikata miti ya maembe, maparachichi na miti mingine ya asili ili auze mbao. Cha kushangaza kwa sasa ni kapuku ambaye hata buku kuwa nayo ni mtihani.Ki ufupi watu maskini na watu wenye ujinga ujinga wa kuamini uchawi hawapatani na mazingira( Hawapendi miti).
Nenda uswahili huwezi kukuta hata mti mmoja.. Ukipanda mti ukiwa mkubwa unasakamwa hoo ndo uchawi wake, mara ndo kijiwe cha wachawi .. Watakuja upiga hata misumari ili ufe tuu.
Kwa wenye kujielewa wanajua umuhimu wa miti..
Tunapambana tuongeze Oxygen maana inazidi kupungua we una kuja na mbinu za ajabu eti usipande mitii flani kisa wachawi..
kwanini unaitwa hivyompanga uzaziView attachment 3245151
Mti wa MBUNYE?Mi kwangu nimepanda mti wa tunda la katikati, kuna shida?
Bro sipati chumba?
sjui mmkwanini unaitwa hivyo
Hakika mkuu wangu....Hakika Africa imebarikiwa sana ila ukiwa na baraka bila maono ni kazi bure, inahitajika juhudi nyingi sana kwenye hili kama ilivyo sasa kwenye maswala ya ushabiki wa mpira na siasa.
Eti kwa sayansi ya asili ya kiafrika kwamba ukifunga mti wa mbaazi na mti wa muhogo au kisamvu unazuia wapumbavu kuingia nyumbani kwako? Mbona mimi nimefanya hivyo still wanakuja kwangu sema wameshajua nawapuuza kwa maana kila wakija jicho langu la tatu linafunguka wanapotea kama upepo.Mkuu wangu hiyo "sayansi" ina mambo mengi.......
Mbaazi unaweza kuzuia na "kubonda kisayansi"....ila isiwe mingi nyumbani kwako.....
Ikiwa mingi basi ujue "terminal 3" umeihamishia hapo kwako....
Mbona unasonya mkuuMxiuu
Pole sana...huyo "bro wako " tamaa nyingi ,hana akili na mlevi mbwa.....Kuna bro wangu mtoto wa Mama Mkubwa sitakuja kumsamehe kwa kukata miti nyumbani kwa babu mzaa mama ili auze mbao. Yule mwehu alikata miti ya maembe, maparachichi na miti mingine ya asili ili auze mbao. Cha kushangaza kwa sasa ni kapuku ambaye hata buku kuwa nayo ni mtihani.
....wewe ni mtu wa "spiritual sana" una zawadi kutoka kwa mfalme wa majeshi....si kwa ajili ya kufanya maombi pekee bali wewe una hizo nguvu kubwa.....Eti kwa sayansi ya asili ya kiafrika kwamba ukifunga mti wa mbaazi na mti wa muhogo au kisamvu unazuia wapumbavu kuingia nyumbani kwako? Mbona mimi nimefanya hivyo still wanakuja kwangu sema wameshajua nawapuuza kwa maana kila wakija jicho langu la tatu linafunguka wanapotea kama upepo.
Pana siku nimemuona dogo mmoja hivi kavaa jinsi blue na tishet nyekundu age kati ya 24 to 28 akija usawa wangu nikainuka automatic kitandani nimemnyooshea mkono namfuata kwa Imani kuu nikitamka damu ya Yesu ikupige wewe hadi na madhabau unayotoka ndani ya sekunde akapotea kwenye ukuta.
Wachawi wapo live kama sio mtu wa spiritual huwezi elewa
... hatari mkuu wangu !Kwenye hili naweza sema kuna kama ukweli ivi maana nimepata kushuhudia vidume kadhaa wakienda down mkuu.🤔
Ha ha ha haBaba mwenye nyumba mbona uoga 😂 😂
Mimi sio dalaliBro sipati chumba?
Ndio huo?Mti wa MBUNYE?
Mimi wachawi au majini siwaogopi kwa sababu Sina ushirika nao au bifu nao tukikutana ktk spiritual world 🌎 kila mtu na hamsini zake....wewe ni mtu wa "spiritual sana" una zawadi kutoka kwa mfalme wa majeshi....si kwa ajili ya kufanya maombi pekee bali wewe una hizo nguvu kubwa.....
Hallelujah !!
#YetzerHatov!