βοΈGENTAMYCINE ni ZAWADI YENU KUU NA TUKUKA WANA JAMIIFORUMS WOTE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU ila bahati mbaya tu Wengi wenu bado hamjalitambua hilo ila Ubarikiwe Wewe kwa kuwa wa Kwanza Kulitambua.
GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" sawa Mkuu?
Kaa Kimya Mkuu huna unalolijua na kuanzia leo ukiona GENTAMYCINE nakuja na hizi Taarifa Ngumu na Nyeti uwe UNANISHUKURU, unaniombea MAISHA MAREFU kwa Mwenyezi Mungu na kunipigia SALUTE KUBWA sawa?Simba, kama timu, mwaka huu haiko vizuri. Hili limeonekana kwa muda mrefu na kupigiwa makelele sana. Msemaji akaja na usemi kuwa eti timu inacheza objective football.
Nadhani ingekuwa vizuri kama nguvu zingeelekezwa kwenye kuiimarisha timu kwa kutafuta wachezaji sahihi badala ya kuanza kutafutiana lawama maana hili likifanyika hakuna marekebisho yatakayofanyika na timu itaendelea kucheza papatupapatu utafikiri wanacheza Rugby
Sent from my SM-G781U using JamiiForums mobile app
Mzigo mwingine kwenye soka huu paka.tupe habali za kanali wa lugalo .mpira siyo huna unacho jua acha kupotosha watuKaa Kimya Mkuu huna unalolijua na kuanzia leo ukiona GENTAMYCINE nakuja na hizi Taarifa Ngumu na Nyeti uwe UNANISHUKURU, unaniombea MAISHA MAREFU kwa Mwenyezi Mungu na kunipigia SALUTE KUBWA sawa?
Sibahatishi kwa Taarifa zangu hapa.
Za kuambiwa changanya na zako. JK rais mahiri awamu ya nne.Kaa Kimya Mkuu huna unalolijua na kuanzia leo ukiona GENTAMYCINE nakuja na hizi Taarifa Ngumu na Nyeti uwe UNANISHUKURU, unaniombea MAISHA MAREFU kwa Mwenyezi Mungu na kunipigia SALUTE KUBWA sawa?
Sibahatishi kwa Taarifa zangu hapa.
Mashabiki wa Tanzania ujuaji mwingi kutaka kila mechi mchezaji lazima juu ya kiwango kile kile jambo ambalo haliwezekani hata ulaya nyie ndio mnawapa presha makocha na wachezaji wanashindwa kufanya majukumu yao ipasavyoAsante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi ( Mjumbe ) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.
Hizi ndio Ng'ombe ambazo Makonda alisema atatoaKama yanga inahonga kama simba mnavyodai basi yanga ina pesa ya kuharibu. Haina hata haja ya kutafta wachezaji wa bei mbaya inaweza hata kuchukua wa mchangani ikaendelea kuhonga tu ili iwe inashinda.
Hata kwa madai haya bado maumivu yenu yanabaki pale pale.
Msitafute mchawi jipangeni....
Ni swali na ni jibu pia, mechi iliuzwa.Kwa hiyo jamaa waliuza mechi siyo?
Ikiwa unaamini hivyo wao hawaamini hivyo na ndiyo maana walifuata maelekezo ya mganga wao waingie uwanjani kupitia mlango ule π.MPIRA wa Miguu ni mchezo wa kipaji na Akili tu, kwenye mpira uchawi haufanyi Kazi
Yanga inawachezaji wenye vipaji vikubwa Sana hata kwenye klabu bingwa itafika mbali mtu Kama Aziz K utamfananisha na Nani?
Simba, kama timu, mwaka huu haiko vizuri. Hili limeonekana kwa muda mrefu na kupigiwa makelele sana. Msemaji akaja na usemi kuwa eti timu inacheza objective football.
Nadhani ingekuwa vizuri kama nguvu zingeelekezwa kwenye kuiimarisha timu kwa kutafuta wachezaji sahihi badala ya kuanza kutafutiana lawama maana hili likifanyika hakuna marekebisho yatakayofanyika na timu itaendelea kucheza papatupapatu utafikiri wanacheza Rugby
Sent from my SM-G781U using JamiiForums mobile app
Kama nawe ulivyo NYOKO TUKUKA.King wa NYOKO
We unaamini kuhusu Nini?Ikiwa unaamini hivyo wao hawaamini hivyo na ndiyo maana walifuata maelekezo ya mganga wao waingie uwanjani kupitia mlango ule π.
Mkuu nakusalimia huko ulipoπ πππ
Nyie bado sanaWaliotuuza (Kama ni kweli) ni wahaini na wasaliti.
Ila hichi kipigo kituamshe kuboresha na kurekebisha mapungufu ya timu yetu.
Manula amekuwa mapumziko kwa matatibabu muda mrefu sasa, hakupaswa kurejea uwanjani kwa kuanzia na mechi kubwa yenye presha kama hii ya derby, kwanini Ally Salim hakudaka jana na alikuwa siyo majeruhi na tiyari alishapangwa kuwa yeye ndiye atakayekaa langoni?Mkuu,hapana. Kubali matokeo. Ni goli lipi uliloona kipa kaachia makusudi? Kapelekewa moto wa kweli mara zote hizo 5 na hakuweza kuuota. Kwani siku zote si kipa? Kwa hiyo kwenye tu game la Yanga ndo hakubaliki? Acheni kutafuta sababu,mmefungwa. Full stop
NakaziaKama yanga inahonga kama simba mnavyodai basi yanga ina pesa ya kuharibu. Haina hata haja ya kutafta wachezaji wa bei mbaya inaweza hata kuchukua wa mchangani ikaendelea kuhonga tu ili iwe inashinda.
Hata kwa madai haya bado maumivu yenu yanabaki pale pale.
Msitafute mchawi jipangeni....