Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Tuache kutupa lawama kwa wachezaji. Tulizidiwa period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa Jibu Kuntu na Tukuka kabisa ulilompa Mkuu wangu. Limemstahili.Wewe ndo mwehu usiyejua yaliyo jificha nyuma ya pazia
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Maneno ya mtu aliyeshindwa. Simba ni mdebwedo na nilishawahi kukuambia. Yaani mpaka matano!Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi ( Mjumbe ) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Nasubiri tu kuona Members wa Jamiiforums mkinijengea Sanamu langu GENTAMYCINE kwani nawapeni Info ambazo hakuna Journalist yoyote ana Mbinu ya Kuzipata.
Mkuu kabla kikosi kutoka una uhakika gani kama alitakiwa kucheza Ally Salimu na sio Aishi Manula??Manula amekuwa mapumziko kwa matatibabu muda mrefu sasa, hakupaswa kurejea uwanjani kwa kuanzia na mechi kubwa yenye presha kama hii ya derby, kwanini Ally Salim hakudaka jana na alikuwa siyo majeruhi na tiyari alishapangwa kuwa yeye ndiye atakayekaa langoni?
Haka kajamaa huwa kajinga sana .et kwamba kana laana kaliAsante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi ( Mjumbe ) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Na Simba walipowafunga msimu huu na uliopita mbona hamkukubali kuwa wako vizuri na hamkuwapa heshima yao, anyway subirini tarehe 1/12 mtakapokutana na Al Ahly ndio mtaujua uwezo halisi wa timu yenu maana hamtaki kuamini kwamba jana mliwafunga sababu ya Manula, tukutane CAFCL mkuuHata Yanga ingefungwa tungesikia tu kuwa mchezaji fulani kahongwa fedha.
Kubalini tu kuwa Yanga wako vizuri na muwape heshima yao. Msitafute mchawi, Dakika 45 za kwanza timu zote zilicheza vizuri. Kipindi cha pili Kocha wa Yanga apewe heshima yake
Ama kweli wajinga na wapotoshaji hawaishi na walikuwepo enzi na enzi na watakuwapo mpaka mwisho wa duniaSimba, kama timu, mwaka huu haiko vizuri. Hili limeonekana kwa muda mrefu na kupigiwa makelele sana. Msemaji akaja na usemi kuwa eti timu inacheza objective football.
Nadhani ingekuwa vizuri kama nguvu zingeelekezwa kwenye kuiimarisha timu kwa kutafuta wachezaji sahihi badala ya kuanza kutafutiana lawama maana hili likifanyika hakuna marekebisho yatakayofanyika na timu itaendelea kucheza papatupapatu utafikiri wanacheza Rugby
Sent from my SM-G781U using JamiiForums mobile app
Kama kocha alikubali kubadili maamuzi kwa stahili hii, basi Atimuliwe. Lakini, kama mleta mada analeta uzushi kisa kudhalilisha ushindi wa Yanga, alaaniwe na wanachama wote wa Simba.Rafiki yake mwenye ukaribu wa Kibiashara na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC walienda kwa Kocha Mkuu na kutaka apangwe Manula Golini wakati tayari Kocha alikuwa ameshaamua kuwa Kipa All Salim
Wote hao we mbwiga? Basi hamna timu,mmeabakiwa na makopo. Halafu uchiz wako kuna watu wanauamini eti? Simba ina mashabiki maandaziAsante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi ( Mjumbe ) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.
Masikini. Kweli Simba ina mashabiki machiz wote. Ndio wa kumuelewa huyu anaruka ruka tu?. Unasahau juzi kaamdika nini? Leo atageuza kile alichokiandika jana. Poleni. Ngoja waje Azam wawagonge muwafukuze wachezaji woteNakubaliana sana na wewe mkuu maana hata kwenye changing room jersey ya Ally Salim ilikuwepo ila nimeshangaa imekuwaje.
Kwa hiyo jamaa waliuza mechi siyo?