Chukueni maneno yangu, Bollen Ngetti atakiangamiza CCM na Taifa!

Bollen Ngeti siku ukijua kuna watu wenye akili zaidi yako utaacha kufanya mzaha, unaotaka kuufanya.
 
kama kuna mtanzania anataka kuiua ccm huyo niwakupewa ulinzi sana kwa maana ana mapenzi mema na nchi.
 
Abarikiwe yeyote anayeshiriki kuua ccm
 
Weka akiba ya maneno ili siku moja husije kukosa cha kuongea. Wakati unakuja, hao mnaowategemea ktk wizi wa kura na kupoka madaraka kwa nguvu wataichoka CCM kama ilivyochokwa na wananchi.
sema umechoka wewe kuambiwa ukweli...
 
Inafikirisha sana. Mleta mada asipuuzwe. Nikikumbuka kuna nchi mtu alijilipua tu kwa madai ya umaskini na revolution zikaanza naweza muelewa.Mapinduzi sio kitu hupangwa na kuanza mara moja,ni mdogo mdogo na hawa waandishi huusishwa tu mpaka watafika kutoa mafunzo na kuchomekea watu wao humo kwenye wenye maamuzi. Motive itakuwa nini ndio nachotaka kufahamu? Maana mzungu hawezi kuja kwa kutupenda watanzania? Maslahi gani hawayapati sasa? Wanalenga nani awekwe nani kwa maslahi yao? Libya na Sudan tunajua walichofuata,nini hawakipewi wakati huu?
 
Kwamba huyu ndiye kigogo 2014?
 
Mkuu, ni jani gani unatumia na linalimwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…