Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Mara ya kwanza nafika pale nilidhani sijafika chuoni kumbe ndo nishafika.Nilighairi kusoma tena MASTERS pale
sawa kabisa, kwa mapicha hayo! Utafikiri umefikia kijiji cha mabanda ya nguruwe na mabata.
Kwa ambao hatujafika tunapata picha ya hizo degree na masters zimefanania na mazingira ya hivyo vibanda! Very primitive...shame on you uongozi wote kwa kujali matumbo yenu.
 
Chuo kasoma mtu kilaza kama Doto Biteko unategemea kitakuaje?
Halafu mwenzako ni naibu waziri mkuu,wewe mwenye akili upo wapi??

Unasumbuliwa na :

wivu

mtu asiyependa mwingine apate mafanikio; mtu mwenye kijicho

Hali hii imekufanya uwe na:

chuki

tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya


Nb: Ninyi ndiyo wale mnaoamini kuwa ukiwa wa kwanza darasani basi hata kwenye maisha halisi uwe wa kwanza! Ukipitwa na aliyekuwa wa mwisho darasani full chuki, hasira, wivu,kijiba, roho mbaya n.k! Karibu duniani!
 
Inatia moyo
Kila kitu kina anzia chini kuja juu.
 
Umemjibu inavyopaswa kabisa huyo Mpumbavu.
 
Ushauri wangu fanya kichokupeleka uzuri wa majengo haufanyi module zikawa nyepesi hapo ni kwa warumi tena tulizana kiutani utani utasoma degree miaka sita so take care kuingia SAUT simple ila kuchomoka inaitaji utulivu wa akili sasa wewe endelea kupiga picha hayo magofu ya zamani maana pengine ujui historia ya hapo malimbe
 
Kweli kabisa mkuu
 

Attachments

  • IMG_20241016_091843_678.jpg
    790.3 KB · Views: 9
  • IMG_20241016_091706_703.jpg
    785.2 KB · Views: 8
  • IMG_20241016_091541_780.jpg
    940.5 KB · Views: 9
Baba wa familia unakimbia kanisa unamuachia mama aende na watoto kanisa jingine.
 
Kila kitu kinafahamika na uongozi wa juu,chuo hiki nilikiona nicha ajabu ni pale kilipotoa gawio kwa serikali, kipindi cha shujaa,wakati hata mishahara kwa wahadhiri ni kipengele.
Huu Ni uongo wa kiwango Cha SGR,serikali Ina share % ngapi kwny chuo Cha SAUT?

Wewe Ni kaongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…