Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kabisa, kwa mapicha hayo! Utafikiri umefikia kijiji cha mabanda ya nguruwe na mabata.Mara ya kwanza nafika pale nilidhani sijafika chuoni kumbe ndo nishafika.Nilighairi kusoma tena MASTERS pale
Halafu mwenzako ni naibu waziri mkuu,wewe mwenye akili upo wapi??Chuo kasoma mtu kilaza kama Doto Biteko unategemea kitakuaje?
Inatia moyoLengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini,bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya chuo kikuu.
Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa serikali,alafu Kina shindwa kuboresha mazingira ya chuo.
Hii ni aibu mpaka kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume.
Ninachojua tu ni kwamba Wapumbavu kamwe hawawezi kwenda Kusoma hapo SAUT Mwanza. Nimemaliza.GENTAMYCINE anasemaje kwani,mzee wa SAUT
Umemjibu inavyopaswa kabisa huyo Mpumbavu.Halafu mwenzako ni naibu waziri mkuu,wewe mwenye akili upo wapi??
Unasumbuliwa na :
wivu
mtu asiyependa mwingine apate mafanikio; mtu mwenye kijicho
Hali hii imekufanya uwe na:
chuki
tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya
Nb: Ninyi ndiyo wale mnaoamini kuwa ukiwa wa kwanza darasani basi hata kwenye maisha halisi uwe wa kwanza! Ukipitwa na aliyekuwa wa mwisho darasani full chuki, hasira, wivu,kijiba, roho mbaya n.k! Karibu duniani!
Kweli kabisa mkuuUshauri wangu fanya kichokupeleka uzuri wa majengo haufanyi module zikawa nyepesi hapo ni kwa warumi tena tulizana kiutani utani utasoma degree miaka sita so take care kuingia SAUT simple ila kuchomoka inaitaji utulivu wa akili sasa wewe endelea kupiga picha hayo magofu ya zamani maana pengine ujui historia ya hapo malimbe
Baba wa familia unakimbia kanisa unamuachia mama aende na watoto kanisa jingine.Katoliki siku hizi wamekuwa matapeli zaidi! Taasisi zao hasa za elimu zimekuwa dhoofu sana! Hio saut ni majengo mabovu kama magereza za uko DRC! Uwa najiuliza michango wanayokusanya kila kukicha wanapeleka wapi?
Sasa hivi maaskofu wa catholic wamekuwa useless wako sambamba na watawala katika kuwakamua waumini wao fedha! Ila hakuna cha maana kinachoendelea!
Wamebakiza kutukana waumini na kuongea maneno ya kijeuri na kifedhuli! Mimi nilishatoka uko kitambo niko orthodox! Watoto na mama yao wako SDA.
Hata kama lo Waboreshe mazingira yakae kichuo chuo banaaa
Na ni ya Kanisa KatolikiThe school of St. Jude ile ni habari nyingine
Serikali ipo busy kuboresha daftari la wapiga kura maana ndiyo linawapa kula...Hata kama lo Waboreshe mazingira yakae kichuo chuo banaaa
Sio ya kanisa ile shule.Na ni ya Kanisa Katoliki
Huu Ni uongo wa kiwango Cha SGR,serikali Ina share % ngapi kwny chuo Cha SAUT?Kila kitu kinafahamika na uongozi wa juu,chuo hiki nilikiona nicha ajabu ni pale kilipotoa gawio kwa serikali, kipindi cha shujaa,wakati hata mishahara kwa wahadhiri ni kipengele.