Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Kama haya kwenye picha ndio majengo ambayo yako kwenye matumizi, basi chuo kitakua hakiwatendei haki wanachuo wake.
Kuanzia mkuu wa chuo atakuwa mchafu mpaka board nzima ya chuo wote ni wachafu, mtu mchafu siku zote haoni uchafu wala hakai smart....mbona vyuo vingine vya taasisis hiyohiyo viko na mandhari nzuri na ni visafi.
 
Mapungufu ni mengi mkuu mfano Leo Kuna jamaa yangu kahitimu SAUT 2019-2022,kaenda leo kuchukua cheti hakuna cheti Wala jina lake halipo kwenye kitabu Cha wahitimu wa mwaka husika na Cha ajabu kwenye account yake matokeo y'ako vizuri tu.😳
Mbona hilo kosa la kawaida kwa SAUT. Mara utasikia wanamsubiri IT, mara wampe hela ili arekebishe makosa. SAUT ndio chuo ambapo mwanachuo ana-screenshot matokeo na ku-screen record kila semester kama vile anatunza ushahidi wa mkeka wa kampuni uchwara ya kubeti.

Wao kumaliza masomo yako ukaambiwa una sup ya mwaka wa kwanza hawaoni shida, na kwenye system wanakuonyesha, na wewe hujawahi ona. Kumaliza ukaenda kuchukua cheti ukakadiriwa una deni la ada ni suala lililozoeleka. Yaani unaweza ukatenga kabajeti kidogo ukihisi labda watadai unadaiwa laki moja hivi.

Nina mdogo wangu alisoma pale. Hasahasa nakumbuka walikuwa na utunzaji mbovu wa data sijui IT specialists wao walikuwa wamewatoa wapi. Nahisi walibadilika labda
 
Kwakuwa ndiyo umeripoti acha tukupatie mwezi Mmoja utakuja na Uzi wa kusifia SAUT Malimbe campus.
Msalimie sana Papaa Mulongo,mutu ya congo.😂😂
Mazingira yakiwa mazuri lazima tutoe sifa,lakini kwa mazingira ya sasa hapana kwa kweli.Chuo kina tia aibu kubwa sana.

Ofisi tu za wahadhiri ziko hovyo,bora za secondary kadhaa.
 
Mbona hilo kosa la kawaida kwa SAUT. Mara utasikia wanamsubiri IT, mara wampe hela ili arekebishe makosa. SAUT ndio chuo ambapo mwanachuo ana-screenshot matokeo na ku-screen record kila semester kama vile anatunza ushahidi wa mkeka wa kampuni uchwara ya kubeti.

Wao kumaliza masomo yako ukaambiwa una sup ya mwaka wa kwanza hawaoni shida, na kwenye system wanakuonyesha, na wewe hujawahi ona. Kumaliza ukaenda kuchukua cheti ukakadiriwa una deni la ada ni suala lililozoeleka. Yaani unaweza ukatenga kabajeti kidogo ukihisi labda watadai unadaiwa laki moja hivi.

Nina mdogo wangu alisoma pale. Hasahasa nakumbuka walikuwa na utunzaji mbovu wa data sijui IT specialists wao walikuwa wamewatoa wapi. Nahisi walibadirika labda
Nisha mwambia rafiki yangu afike ngazi za juu hasa kwa Prof na balozi Mahalu,ili kupata suluhu maana alimuuliza mtoa cheti kwanini ? cheti hakipo na jina halipo kwenye kitabu Cha wahitimu na wakati kwenye account binafsi matokeo y'ako Sawa,Cha kushangaza hata mtoa vyeti hajui ni kwanini?

SAUT ndo chuo ambacha wanafunzi wanajaza complain forms nyingi kuliko idadi ya group work,test na quiz.

Nashukuru sana mkuu kwa kuongeza changamoto hii.kongole
 
Tena unalalamika mazingira ya Sasa hivi wakati Kuna fence,main gate,Kuna vimbweta vimepigwa Hadi bati. Wakati sisi tukisoma hapo hivyo vyote havikuwepo.
Usha sema enzi zako,usitake mazingira uliyo soma wewe yawe Sawa na wengine.Mambo yanabadilika hivyo lazima na vitu vibadilike kuendane na mazingira ya sasa.

Ndo maana nimetolea mfano wa shule ya St Jude-Arusha,ina mazingira bora na yenye mvuto kuliko chuo Cha SAUT au ukipata muda tembelea hata USA River Academy then utaleta mrejesho.
 
Kama huo mkusanyiko wa vibandaumiza hapo kwenye picha ndio majengo ya SAUT. Basi wanazidiwa na shule nyingi tu za sekondari kama Ihyungo na Moshi Technical.
Hivyo vibanda ni migahawa ya hovyo,ambavyo kimsingi vinaharibu muonekano wa chuo.

Viko hovyo hovyo,alafu kumejaa wasomi ambao mimi naona ni kama vipofu.
 
Mapungufu ni mengi mkuu mfano Leo Kuna jamaa yangu kahitimu SAUT 2019-2022,kaenda leo kuchukua cheti hakuna cheti Wala jina lake halipo kwenye kitabu Cha wahitimu wa mwaka husika na Cha ajabu kwenye account yake matokeo y'ako vizuri tu.😳
Mi pia hiki kitu kilinikuta , transcript matokeo yanaishia year ……, cheti cha chuo ambacho sijachukua hadi sasa kitasoma year tofauti.

Japo si SAUT
 
Mi pia hiki kitu kilinikuta , transcript matokeo yanaishia year ……, cheti cha chuo ambacho sijachukua hadi sasa kitasoma year tofauti.

Japo si SAUT
Hiki chuo kinapaswa kufumuliwa chote na kuajili watu wenye akili na uwezo,imefika hatua mtu una hisi aibu kusema umehitimu SAUT.

Watu hapa wanadhani tuna chuki binafsi lakini huu ndo ukweli SAUT ni chuo Cha kijima.
 
images - 2024-10-15T231431.027.jpeg
 
Ungeweka caption kwa kila picha ukisema ni mazingira gani, na panatumika au hapatumiki.
Sehemu zote zinatumika mkuu,siwezi leta habari za uzushi na mbaya zaidi kwenye picha hapo Kuna sehemu nyeti za kujipatia chakula mfano ni 👇
 
Attachments

  • IMG_20241015_094438_595.jpg
    IMG_20241015_094438_595.jpg
    1 MB · Views: 5
  • IMG_20241015_090347_049.jpg
    IMG_20241015_090347_049.jpg
    1.2 MB · Views: 7
  • IMG_20241015_084544_449.jpg
    IMG_20241015_084544_449.jpg
    1.1 MB · Views: 8
Katoliki siku hizi wamekuwa matapeli zaidi! Taasisi zao hasa za elimu zimekuwa dhoofu sana! Hio saut ni majengo mabovu kama magereza za uko DRC! Uwa najiuliza michango wanayokusanya kila kukicha wanapeleka wapi?
Sasa hivi maaskofu wa catholic wamekuwa useless wako sambamba na watawala katika kuwakamua waumini wao fedha! Ila hakuna cha maana kinachoendelea!
Wamebakiza kutukana waumini na kuongea maneno ya kijeuri na kifedhuli! Mimi nilishatoka uko kitambo niko orthodox! Watoto na mama yao wako SDA.
 
Back
Top Bottom