Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Acha dharau kwa chuo nachosomavyovyote iwavyo lakini 5 star Hotel kuwa hostel ya chuo duni kama cha uhasibu Arusha sijawahi kuona
Huna bandiko linalohusu kuokoa hicho kampuni/saccos iwe chama cha siasa zaidi ya udaku kama huo. AibuHii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Usiku wa mwanzo wa mwezi, mshahara bado upoUmeandika bila kuacha nafasi wala paragraph.
Niishie hapo!
Duuu si anapata hasara jamani
Hahahaaaa.......!Usiku wa mwanzo wa mwezi , mshahara bado upo
Anahitaji ushauri wa kisaikolojia.Hata sijui ameandika nini !
habari kama hii unadhani utaipata Uhuru FM ? Thubutu !Source?
Hivi unajua kitu inaitwa "bailout" ewe sukule!?Ulitaka serikali ndiyo iendeshe hiyo hotel? Poor thinking ever!
Mkuu honestly mie naumia kweli kweli yaniHiyo hotel mmiliki alishafariki sasa huwezi kukimbilia kulaumu serikali chadema tunahitaji utulivu n umakini zaidi kwenye kuripoti habari kama hizi
RIP don Mrema jamaa yako umeacha solembaDuh! Mkuu @Erythrocyte , asante kwa taarifa hii, kwanza naomba ku declare interest, mimi ni mdau wa hotel za Mzee huyu. Kampuni yangu ya PPR, ndio ilikuwa ikiwatengenezea matangazo ya biashara, na kila mikutano mikubwa tukiitwa kuitangaza, na ni Mkutano fulani uliofanyikia Ngurdoto, ukanifanya waandishi wa Arusha niwavulie kofia, kwa kuwaheshimu kwa umoja!.
Comming back to Hotels, my favourite ni Impala na ndio makao makuu. The boss mchana kutwa anashinda kwenye usimamizi, anaingia kazini saa 5 usiku, hadi saa 12:00 asubuhi, daily, hakuna kulala na hakuna Jumamosi, Jumapili wala Sikukuu.
Kutokana na ratiba hii, sijui chakula cha nyumbani alikuwa anakula saa ngapi, lakini kwa wahudumu wa hotel na walivyo warembo, ilikuwa ni kazi na dawa!.
Kupitia ukaribu huo, kwanza ndio nikajua kumbe ni huyu jamaa huwa anaamua Mbunge wa Arusha awe nani, ni yeye aliyekuwa akimfund Lema japo ni mwana CCM, kama yule tajiri wa Dar alivyokuwa aki i fund Chadema japo yeye ni CCM, na angekuwa hai, CCM ingepigwa mweleka Arusha.
Kwa sisi wanye economic eye, the money ilitumika as capital kujenga hiyo business empire yake, sio income from the hotels only, alikuwa na side business ya big bucks changing hands usiku kucha. Kwa vile na mimi nafanya editing usiku kucha, ndio unaona people's movements with trunks full of $. This side business ndio inaingiza good money, mke, watoto hawajui na hawawezi na wazee wengine kwa sababu walikuwa wanajua the risks associated, hivyo they opted to keep the family away.
Alipoitwa kwenye makao yake ya milele, no one else knew how to go about. Na japo jamaa alikuwa ni Mchaga, lakini alikuwa na genes za Kisukuma za kupenda vi spring chickens vyeupe, na kupenda watoto, hivyo he had many with warembo na kuna mahali, alma nusra ningemvunjia heshima, ila after learning ni pumziko la Boss, I just said no, kwa heshima tuu, hata kama Boss hata jua!, the lady insisted nisiogope, kwasababu the boss picks every good tasty meals!. Hizo ni tabia za Kisukuma za wanawake wengi, watoto wengi na openly!.
Uzuri wa huyu Mzee, akikukubali, any price you tell anakulipa bila kusema punguza kidogo!. Mimi na team yangu ni kula bure, kulala bure!. He was more than boss, na baada ya kujikuta tunafanana tabia, tukatokea kuwa marafiki, jamaa anaongea na presidents!. Hizo connections ndizo zilikuwa zinafanya hotel zijae. Ameondoka na connections zake!.
RIP Don Mrema!.
Aisee mwandiko wa hovyo kabisa sijapata kuona.Duh! Mkuu @Erythrocyte , asante kwa taarifa hii, kwanza naomba ku declare interest, mimi ni mdau wa hotel za Mzee huyu. Kampuni yangu ya PPR, ndio ilikuwa ikiwatengenezea matangazo ya biashara, na kila mikutano mikubwa tukiitwa kuitangaza, na ni Mkutano fulani uliofanyikia Ngurdoto, ukanifanya waandishi wa Arusha niwavulie kofia, kwa kuwaheshimu kwa umoja!.
Comming back to Hotels, my favourite ni Impala na ndio makao makuu. The boss mchana kutwa anashinda kwenye usimamizi, anaingia kazini saa 5 usiku, hadi saa 12:00 asubuhi, daily, hakuna kulala na hakuna Jumamosi, Jumapili wala Sikukuu.
Kutokana na ratiba hii, sijui chakula cha nyumbani alikuwa anakula saa ngapi, lakini kwa wahudumu wa hotel na walivyo warembo, ilikuwa ni kazi na dawa!.
Kupitia ukaribu huo, kwanza ndio nikajua kumbe ni huyu jamaa huwa anaamua Mbunge wa Arusha awe nani, ni yeye aliyekuwa akimfund Lema japo ni mwana CCM, kama yule tajiri wa Dar alivyokuwa aki i fund Chadema japo yeye ni CCM, na angekuwa hai, CCM ingepigwa mweleka Arusha.
Kwa sisi wanye economic eye, the money ilitumika as capital kujenga hiyo business empire yake, sio income from the hotels only, alikuwa na side business ya big bucks changing hands usiku kucha. Kwa vile na mimi nafanya editing usiku kucha, ndio unaona people's movements with trunks full of $. This side business ndio inaingiza good money, mke, watoto hawajui na hawawezi na wazee wengine kwa sababu walikuwa wanajua the risks associated, hivyo they opted to keep the family away.
Alipoitwa kwenye makao yake ya milele, no one else knew how to go about. Na japo jamaa alikuwa ni Mchaga, lakini alikuwa na genes za Kisukuma za kupenda vi spring chickens vyeupe, na kupenda watoto, hivyo he had many with warembo na kuna mahali, alma nusra ningemvunjia heshima, ila after learning ni pumziko la Boss, I just said no, kwa heshima tuu, hata kama Boss hata jua!, the lady insisted nisiogope, kwasababu the boss picks every good tasty meals!. Hizo ni tabia za Kisukuma za wanawake wengi, watoto wengi na openly!.
Uzuri wa huyu Mzee, akikukubali, any price you tell anakulipa bila kusema punguza kidogo!. Mimi na team yangu ni kula bure, kulala bure!. He was more than boss, na baada ya kujikuta tunafanana tabia, tukatokea kuwa marafiki, jamaa anaongea na presidents!. Hizo connections ndizo zilikuwa zinafanya hotel zijae. Ameondoka na connections zake!.
RIP Don Mrema!.
Kosa la marehemu inasingiziwa serikaliMkuu honestly mie naumia kweli kweli yani
Tumevuka mipaka ya kutokua na AKILI TIMAMU sahivi Sijui tuko wapi
Watu wamekua wanashindana kutoa kejeri dhidi ya Serikali Mara mitan tena, Mara uchumi wa kat yani alimrad mtu na yeye aseme aonekane, Mbona Mimi wakat nip jalalani kam nyie sikua natoa kejeri hivi [emoji19][emoji19]
Hao ndio wanahabari wetu hahaha hii Tanzania watu wanabebana bebana, anaandika kama dogo aliefeli form 2Umeandika bila kuacha nafasi wala paragraph.
Niishie hapo!
Mkuu mi ni mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha, hii ni issue ya ukweli kutokana na chuo kusajili wanafunzi wengi kupita uwezo wa chuo ndio wameamua baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuhamishiwa huko sio hostel tu hadi kusoma watakuwa wanasomea huko huko maana leo nilienda library nikakuta wanakusanya vitabu ili kwenda kutengeneza library hapo hotelini na hela ya kukaa huko ni 400,000 kwa mwanafunzi mmoja."Uchumi umekua kweri-kweri mpaka watoto wa wanyonge wanalala kwenye hostel zenye hadhi ya nyota 5" By Mataga flani
Ziko juu kwa chiniNilipita nearby hotel hiyo sikuona nyota unazosema - ziko upande upi
Chumba kimoja kwa siku ilikuwa bei gani?Mkuu wa chuo cha uhasubu amesema kwa mwaka mwanafunzi analipa laki 4 na kuna wanafunzi 1000 tayari wamehamia .
Ina maana kwa mwaka atapata only mil 400.