Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Hapa linaloshangaza ni jambo moja tu mteja mkubwa wa hotel hii alikuwa ni nani? Maana kitakwiimu Tanzania kwa sasa watalii wanaoingia ni wengi mno kupita miaka yote iliyopita au mteja mkuu alikuwa ni SEMINA?
 
Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .

Nakulilia Tanzania .
Huna bandiko linalohusu kuokoa hicho kampuni/saccos iwe chama cha siasa zaidi ya udaku kama huo. Aibu
 
Mkuu wa chuo cha uhasibu amesema kwa mwaka mwanafunzi analipa laki 4 na kuna wanafunzi 1000 tayari wamehamia.

Ina maana kwa mwaka atapata only mil 400.
Duuu si anapata hasara jamani
 
Hiyo hotel mmiliki alishafariki sasa huwezi kukimbilia kulaumu serikali chadema tunahitaji utulivu n umakini zaidi kwenye kuripoti habari kama hizi
Mkuu honestly mie naumia kweli kweli yani
Tumevuka mipaka ya kutokua na AKILI TIMAMU sahivi Sijui tuko wapi

Watu wamekua wanashindana kutoa kejeri dhidi ya Serikali Mara mitan tena, Mara uchumi wa kat yani alimrad mtu na yeye aseme aonekane, Mbona Mimi wakat nip jalalani kam nyie sikua natoa kejeri hivi [emoji19][emoji19]
 
Duh! Mkuu @Erythrocyte , asante kwa taarifa hii⁩, kwanza naomba ku declare interest, mimi ni mdau wa hotel za Mzee huyu. Kampuni yangu ya PPR, ndio ilikuwa ikiwatengenezea matangazo ya biashara, na kila mikutano mikubwa tukiitwa kuitangaza, na ni Mkutano fulani uliofanyikia Ngurdoto, ukanifanya waandishi wa Arusha niwavulie kofia, kwa kuwaheshimu kwa umoja!.

Comming back to Hotels, my favourite ni Impala na ndio makao makuu. The boss mchana kutwa anashinda kwenye usimamizi, anaingia kazini saa 5 usiku, hadi saa 12:00 asubuhi, daily, hakuna kulala na hakuna Jumamosi, Jumapili wala Sikukuu.

Kutokana na ratiba hii, sijui chakula cha nyumbani alikuwa anakula saa ngapi, lakini kwa wahudumu wa hotel na walivyo warembo, ilikuwa ni kazi na dawa!.

Kupitia ukaribu huo, kwanza ndio nikajua kumbe ni huyu jamaa huwa anaamua Mbunge wa Arusha awe nani, ni yeye aliyekuwa akimfund Lema japo ni mwana CCM, kama yule tajiri wa Dar alivyokuwa aki i fund Chadema japo yeye ni CCM, na angekuwa hai, CCM ingepigwa mweleka Arusha.

Kwa sisi wanye economic eye, the money ilitumika as capital kujenga hiyo business empire yake, sio income from the hotels only, alikuwa na side business ya big bucks changing hands usiku kucha. Kwa vile na mimi nafanya editing usiku kucha, ndio unaona people's movements with trunks full of $. This side business ndio inaingiza good money, mke, watoto hawajui na hawawezi na wazee wengine kwa sababu walikuwa wanajua the risks associated, hivyo they opted to keep the family away.

Alipoitwa kwenye makao yake ya milele, no one else knew how to go about. Na japo jamaa alikuwa ni Mchaga, lakini alikuwa na genes za Kisukuma za kupenda vi spring chickens vyeupe, na kupenda watoto, hivyo he had many with warembo na kuna mahali, alma nusra ningemvunjia heshima, ila after learning ni pumziko la Boss, I just said no, kwa heshima tuu, hata kama Boss hata jua!, the lady insisted nisiogope, kwasababu the boss picks every good tasty meals!. Hizo ni tabia za Kisukuma za wanawake wengi, watoto wengi na openly!.

Uzuri wa huyu Mzee, akikukubali, any price you tell anakulipa bila kusema punguza kidogo!. Mimi na team yangu ni kula bure, kulala bure!. He was more than boss, na baada ya kujikuta tunafanana tabia, tukatokea kuwa marafiki, jamaa anaongea na presidents!. Hizo connections ndizo zilikuwa zinafanya hotel zijae. Ameondoka na connections zake!.
RIP Don Mrema!.
RIP don Mrema jamaa yako umeacha solemba

Bata ulizokuwa unampa hazipo Tena

Sasa anaikaanga taaluma yake kwa kuwa maamuma!!

Pumzika kwa amani don Mrema
 
Aisee mwandiko wa hovyo kabisa sijapata kuona.
 
Mkuu honestly mie naumia kweli kweli yani
Tumevuka mipaka ya kutokua na AKILI TIMAMU sahivi Sijui tuko wapi

Watu wamekua wanashindana kutoa kejeri dhidi ya Serikali Mara mitan tena, Mara uchumi wa kat yani alimrad mtu na yeye aseme aonekane, Mbona Mimi wakat nip jalalani kam nyie sikua natoa kejeri hivi [emoji19][emoji19]
Kosa la marehemu inasingiziwa serikali
Mrema alikua amehodhi kila kitu peke yake na kibaya hakuwa hata na mipango ya baadae. Pole kwa familia yake
 
"Uchumi umekua kweri-kweri mpaka watoto wa wanyonge wanalala kwenye hostel zenye hadhi ya nyota 5" By Mataga flani
Mkuu mi ni mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha, hii ni issue ya ukweli kutokana na chuo kusajili wanafunzi wengi kupita uwezo wa chuo ndio wameamua baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuhamishiwa huko sio hostel tu hadi kusoma watakuwa wanasomea huko huko maana leo nilienda library nikakuta wanakusanya vitabu ili kwenda kutengeneza library hapo hotelini na hela ya kukaa huko ni 400,000 kwa mwanafunzi mmoja.
 
Back
Top Bottom