kingekuwa chuo duni kisingetambulika na serikali kwa maana ya TCU, na hotel ya nyota tano Ngurdoto isingekubali kuwapokea na kuwapa hostel wanafunzi waishi hapo... tena nimpongeze sana huyo mkuu wa chuo kwa kujiongeza kuwatafutia wanafunzi wake hostel zenye viwango vya kimataifa kwa gharama nafuu mno.vyovyote iwavyo lakini 5 star Hotel kuwa hostel ya chuo duni kama cha uhasibu Arusha sijawahi kuona
Je kuna management yenye kuweza kuendesha hiyo hotel, kwa Marehemu Machache umesikia Mabadiliko yoyote kwenye Management?? Je unajua maanuzi ya Mahakama juu ya Management ya biashara za Machache???Kwani Mzee Mengi yuko hai? Yeye mbona biashara zake hazijafa na kuna ugomvi wa kifamilia huko? Acha upumbavu jamaa.
Kuna ujinga na upumbavu, moja akieleweshwa habadilika mwingine hubaki hivyo hivyo .Though I can't feign knowledge of what exactly had transpired to Ngurdoto leading to this abysmal end, however, comparing with other businesses I know which had met the same end, they share one common denominator- a heavy burden of government taxes and other tozos kill businesses. In short, business climate in Tanzania at the moment is awfully unfriendly.....only a fool will plunge in head on!
Na ujinga wa watanzania ndio mtaji wa chama chetu chakavu.I wont CONCERN Kufail Kwa Hiyo Hotel
ila naumia KUONA baadhi Watanzania wenzangu tukiwa na Ujinga Mwingi kichwani
Gwala againNi dalili za ukuaji uchumi, tutembee kifua mbereee.
Hiki hunifanya nipende biashara ya majengo.. Ukiwa na biashara ya magari, yakifa, unapotea kwenye ramani.. Lakini ukiwa na majengo, ni rahisi kubadili biashara... Hupotei kwenye ramani, mazima!Baada ya uchumi kufa hoteli nyingi zimegeuzwa hostel
Awamu pendwa ikishapita tu Hali nzuri itarejea uchumi utakuwa unaondoa hostel inakuwa hotel.Hiki hunifanya nipende biashara ya majengo.. Ukiwa na biashara ya magari, yakifa, unapotea kwenye ramani.. Lakini ukiwa na majengo, ni rahisi kubadili biashara... Hupotei kwenye ramani, mazima!
Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Pengine wenye hotel yao wameamua kubadili biashara, sioni sababu ya kulalamika hapo.Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Kwa kweli inasikitisha na kukatisha tamaa! Hii ndo kazi ya mikono ya Jiwe! Hatari sana!Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Acha kejeli zisizokua na msingi, soma kwanza alichoandika Pascal Mayalla."Uchumi umekua kweri-kweri mpaka watoto wa wanyonge wanalala kwenye hostel zenye hadhi ya nyota 5" By Mataga flani
Utasubiri sana hilo litokee na halitatokea nchi itasonga mbele tu hakuna nchi inaweza kupata maendeleo ya maana kwa kutegemea misaada.Fanya 10 kabisa Somalia itakuwa na afadhali na kule hazina kweupeeee na BEBERUS wamesusa na misaada yao na mikopo. Mambo Kizimbambwe Zimbabwe tu mkate million huna una chanja mbuga.
TCU bado ni kila kitu... Na inahusika na upuuzi huu kuvipendelea vyuo vya serikali...Duuuh aiseee, hiyo yote ni tamaa ya pesa, bora system irudi kama zamani, TCU Ndio iwe kila kitu.
Kwahiyo watalii wamepungua kwenye hotel moja tu tena ya 5 [emoji93]?Weka mkataba, pengine wenye hoteli wamebadili dira kutokana na Cocid-19. Wewe unafahamu watalii wamepungua, sasa pengine ni bora wapate kidogo kuliko kukosa kabisa. Bring the true story hatupo hapa kujadili majungu.
Mh! Ninachojua ni kuwa watalii hakuna kwa hio ngurdoto haina watejaView attachment 1638380
Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto.
Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto kusoma na kuishi ni kutoka katika kozi za:
•Bachelor in Business Management (BBM)
•Basic Technician Certificate in Business Management (BTCBM)
•Ordinary Diploma in Business Management (ODBM) mwaka wa 1
•Bachelor of Accountancy (BA) mwaka wa 1 & 2
•Basic Technician Certificate In Accountancy (BTCA)
•Ordinary Diploma In Accountancy (ODA) mwaka wa 1 & 2
Baadhi ya Wanafunzi wamelalamikia suala la kupelekwa Hotelini kwani awali waliomba kusomea Main Campus ambapo walishakodi vyumba karibu na chuo na kununua mahitaji ya kujikimu kama vile magodoro, majiko nk.
Wamesema sasa wanalazimika kulipa kiasi cha Tsh. 400,000 kama malipo ya Hosteli (huko hotelini)
“Kama chuo kimejaa kwanini wanachukua idadi ambayo wao hawawezi kumudu na kuanza kutusumbua wakati tumeomba main campus?”, amehoji mwanafunzi mmoja.
Wanafunzi wameomba kama Idadi imezidi ni bora baadhi ya Wanafunzi wahamishiwe Vyuo vingine.
Jaribu kumwambia spika wa bunge, kalamagamba kabugi na jpm kuhusu hilo uone watakwambia kitu... Hiyo misaada wanaikataa kwa maneno lakini kwa matendo wanaendelea kuipokea...Utasubiri sana hilo litokee na halitatokea nchi itasonga mbele tu hakuna nchi inaweza kupata maendeleo ya maana kwa kutegemea misaada.