Chuo cha Usafiri wa Anga kutoa mafunzo ya urushaji drones kwa ada ya Tsh. 1,980,000 yatayoweza kuomba leseni ya urushaji TCAA

Hahahahah hii nchi bhana
 
Sheria yeyeto huwa ni fursa kwa walinda sheria wabongo tunajuana.
 
Aiseeee !!!
 
Hiyo 1,980, 000/= fanya hivi nenda kijiji cha Mwarazi mgeta pale morogoro tafuta shamba kwa bei nafuu kabisa lima cabbage kwa hekta kumi kwa miezi tatu. Matokeo utayaona sio huu ujinga wa serikali
Big up
 
kwahiyo tuendelee kujaza vyeti tu wakati ajira hakuna kabisa au tuendelee kupoteza pesa kwa ajili ya kulipa ada tukijua kazi ni kwa mbinde kupata
 
Hili ni sikio la kufa. Ajira hakuna halafu wewe unabana mianya ya kujiajiri! Yakikukuta unaanza kulaumu 'mabeberu'.
 
Siku hizi wanaharakati hawa post tena zile Clip za Nyerere za kusema Serikali Legelege haikusanyi kodi…walikuwa wana post wakati wa Jk kumsanifu
Haha Haha
Nchi hii kila kitu lazima usomeee yani hata waliogundua hawahasoma kama sisi..
Kila kitu
Leseni, cheti, ada, nk...
 
Ukifeli wanarudisha ada, au ni haina kufeli ? 😀
 
Hiyo 1,980, 000/= fanya hivi nenda kijiji cha Mwarazi mgeta pale morogoro tafuta shamba kwa bei nafuu kabisa lima cabbage kwa hekta kumi kwa miezi tatu. Matokeo utayaona sio huu ujinga wa serikali
Idea nzuri[emoji848]
 
haya wajameni wale mliokuwa mmefungia cranes zenu ndani kazitoeni sasa haziwezi pata high angle kama drones lakini siyo haba kwa kitakachopatikana,drones kauzeni nchi jirani hapo maana viko vi drones hadi vya dollar 300
 
Wanasema tujiajiri ili wapige kodi
 
Ngosha lekaga getee
 
Nauliza hivi kwani hauwezi ukawa unashoot video yako kwa drone bila kibali na usipatikane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…