Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah hii nchi bhanadrone (vi drone) hata mii na operate kabisa na nishashutia hadi kwaya una control kwa simu kirahisi tu miimi nilijua zile ni mafunzo ya zile drones kama za kivita za wamarekani nikajua kuna ajira labda za kwenda kuendesha drones kupambana na magaidi ya mtwara / msumbiji?
kazi ipo jamani nyiee kwa hiyo ukishatoa hiyo milioni 2 kwa week 4 ukipata kibali ukumbuke kila mkoa unapoenda unatakiwa ulipe dollar 100 ya kibali,polisi watafaidi sana safari hii,BADO MNAAWAMBIA WATU WAJIAJIRI?KUWA NA CHANNEL YA YOU TUBE INABIDI ULIPE MILIONI 3,BADO MNASEMA MNAPENDA WATU WAWE CREATIVE?
HEHEEEEE HIIIIIII BHAGOSHAAAAAA
Sheria yeyeto huwa ni fursa kwa walinda sheria wabongo tunajuana.shida hapo ni kibali hutapata kibali hadi uwe na hayo mafunzo kama ilivyo kwa mafunsi simu..na walisemaga kila mkoa ku operate kibali ni dollar 100 kwa mfano kama una kampuni ya shooting na macamerman 5 inabidi ikutoke milioni 10 ya mafunzo,hakuna namna tena sasa kupata views za juu inabidi kurudi kutumia cranes au kupanda juu ya vibaraza na magorofa kama zamani
Kwanza muanze kulipa Kodi kwa KILA jeneza mnaihujumu serikali coz biashara yenu haina hasara jeneza tu laki tano bei kubwa SanaSie wachonga majeneza mafunzo yetu lini?
Aiseeee !!!Naona kitakachofuatia ni baby stroller (pichani)...utatakiwa uhudhurie mafunzo kuhusu sheria za mtaani (njia) na jinsi ya kupishana na watumiaji wengine wa njia (barabara). Kozi itakuwa ya wiki mbili na gharama ni shilingi laki tano (500,000/=). Baada ya mafunzo utatunukiwa cheti cha kukuwezesha kumtembeza mtoto mtaani kwa usalama.
Big upHiyo 1,980, 000/= fanya hivi nenda kijiji cha Mwarazi mgeta pale morogoro tafuta shamba kwa bei nafuu kabisa lima cabbage kwa hekta kumi kwa miezi tatu. Matokeo utayaona sio huu ujinga wa serikali
ukijuaya drones ndo unaqualify udereva wa ndege za AtCL?Umewauliza ATCL kama hawana nafasi? Mbona ndege zao zimeegeshwa uwanjani! Kasome kijana hiyo ni fursa.
Haha Haha
Nchi hii kila kitu lazima usomeee yani hata waliogundua hawahasoma kama sisi..
Kila kitu
Leseni, cheti, ada, nk...
Idea nzuri[emoji848]Hiyo 1,980, 000/= fanya hivi nenda kijiji cha Mwarazi mgeta pale morogoro tafuta shamba kwa bei nafuu kabisa lima cabbage kwa hekta kumi kwa miezi tatu. Matokeo utayaona sio huu ujinga wa serikali
Wanasema tujiajiri ili wapige kodidrone (vi drone) hata mii na operate kabisa na nishashutia hadi kwaya una control kwa simu kirahisi tu miimi nilijua zile ni mafunzo ya zile drones kama za kivita za wamarekani nikajua kuna ajira labda za kwenda kuendesha drones kupambana na magaidi ya mtwara / msumbiji?
kazi ipo jamani nyiee kwa hiyo ukishatoa hiyo milioni 2 kwa week 4 ukipata kibali ukumbuke kila mkoa unapoenda unatakiwa ulipe dollar 100 ya kibali,polisi watafaidi sana safari hii,BADO MNAAWAMBIA WATU WAJIAJIRI?KUWA NA CHANNEL YA YOU TUBE INABIDI ULIPE MILIONI 3,BADO MNASEMA MNAPENDA WATU WAWE CREATIVE?
HEHEEEEE HIIIIIII BHAGOSHAAAAAA
Ngosha lekaga geteedrone (vi drone) hata mii na operate kabisa na nishashutia hadi kwaya una control kwa simu kirahisi tu miimi nilijua zile ni mafunzo ya zile drones kama za kivita za wamarekani nikajua kuna ajira labda za kwenda kuendesha drones kupambana na magaidi ya mtwara / msumbiji?
kazi ipo jamani nyiee kwa hiyo ukishatoa hiyo milioni 2 kwa week 4 ukipata kibali ukumbuke kila mkoa unapoenda unatakiwa ulipe dollar 100 ya kibali,polisi watafaidi sana safari hii,BADO MNAAWAMBIA WATU WAJIAJIRI?KUWA NA CHANNEL YA YOU TUBE INABIDI ULIPE MILIONI 3,BADO MNASEMA MNAPENDA WATU WAWE CREATIVE?
HEHEEEEE HIIIIIII BHAGOSHAAAAAA
Naukimaliza kusoma utaambiwa kukata leseni laki moja kila baada ya mwakaBei ya ada inalingana na bei ndege yenyewe,
Mtapewa soon[emoji23][emoji23]Sie wachonga majeneza mafunzo yetu lini?