King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wee baba ni kwamba huna uelewa au ndo kupovukwa kwako hata huoni nn Una andika??
Kwahiyo shoga akitetea ushoga haitakiwi, ila asiye shoga akitetea ushoga ni sawaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaaa.
Nchi yako inapokea misaada na mikopo ikiwa na masharti, ndani ya hayo masharti kuna haki za binadamu, ambapo ushoga na mashoga wako ndani yake.
Ndo maana nlikuambia huu waraka hapa chini usome kwa makini, na utafakari, hebu tumia logic bas nawee, mbna unajishusha hivyooo.
Soma hapa chini huu warakaaa.View attachment 2540747
Kama haupo na mashekhe wa Kilungule haya mambo ya Mwezi Beach kwao ni hadithi ya kufikirika.Umeona eeh! Hayo ndo maswali nipo na mashekhe hapa hawakijui kabisa yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]labda wanasoma waarabu peke yao
Codes ni nyepesi mnooo yaan mnooo.
Kuhusu suala la ushoga hakuna kiongozi atakae thubutuu kutangaza wazi wazi kuwa ni illegal hapa nchini, hata aje mafia kiasi gani hawezi kamweee.
Nafikiri waanze kurekebisha vifungu vya sheria ktk katiba, na pia kwenye suala la haki za binadamu wakatafakari kwa kina kipi waishi nacho, pia misaada na mikopo je masharti yake ni sahihi kwa mustakabali wa nchi.
Kuna kiongozi mstaafu aliwahi sema "ukitaka kula sharti uliwe"
Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone.
Khalhaghabhao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haturuhusiwi usifosi!Mbona muislamu anaruhusiwa kula nguruwe akiwa na njaa
Huo utu uzima wako na akili zako timamu Una amini hizi propaganda za mu7 na Ruto?? Really??
Kwa Africa mashariki hakuna nchi yenye ubavu wa kupinga na kukataa ushoga, ila viongozi wanacheza na akili za wananchi wao.
Halafu ukishajua hili ni jukwaa huru na tunabishana kwa hoja, basi kila mtu atoe hoja na mtazamo wake, sio kupangiana.
Mie nikitetea ushoga, na wee ukipinga tatizo nn?? Lakini wee unataka eti na mie nipinge wakati sio matakwa yangu. Kila mtu acheze side yakee, upo hapo mzee baba!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata yesu alitupia mapepo kwa nguruwe ila wewe wafuate waitaly na waingereza tu ...maana ndo Miungu yako!Kwahiyo kati ya chura na nguruwe bora nini??kwani nguruwe alimfanya nini mtume wenu?mana mnavyomchukia mkuu wa meza hadi mnatia huruma.
Wee baba ni kwamba huna uelewa au ndo kupovukwa kwako hata huoni nn Una andika??
Kwahiyo shoga akitetea ushoga haitakiwi, ila asiye shoga akitetea ushoga ni sawaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaaa.
Nchi yako inapokea misaada na mikopo ikiwa na masharti, ndani ya hayo masharti kuna haki za binadamu, ambapo ushoga na mashoga wako ndani yake.
Ndo maana nlikuambia huu waraka hapa chini usome kwa makini, na utafakari, hebu tumia logic bas nawee, mbna unajishusha hivyooo.
Soma hapa chini huu warakaaa.View attachment 2540747
Hata yesu alitupia mapepo kwa nguruwe ila wewe wafuate waitaly na waingereza tu ...maana ndo Miungu yako!
Swali lip? Leta nikujibuJibu swali,halafu kumbe unamuamini na kumfuata Yesu mwana waMungu aliye hai,ila shida majini yamekujaa,uje ukanyage mafuta mapepo yakutoke uipate nuru ya kweli.
Narudia tena kati ya chura na nguruwe utakula kipi?
DuhMore than Serious. Nimewahi kuishi Mtaa wa Pili tu nyuma ya hicho Chuo ( Taasisi hiyo ) na bado nina Ndugu zangu wanaishi Jirani na Jengo hilo nyumba Jirani na aliyekuwa Chief Secretary Balozi Ombeni Sefue.
Na bahati nzuri Jana wakati wa Tukio nilikuwa hapo hapo kwa Ndugu zangu na nikabahatika Kuzungumza na Wajumbe Wawili ambao kama nilivyothibitishwa na Mlinzi Mmoja, Mfanyakazi wa humo ndani na Wao pia wakaniambia hivyo hivyo juu ya hivyo Vitendo Vichafu.
Hatahivyo wamejitahidi Kulalamika na Kuripoti kwa Mamlaka lakini walichoambiwa ni kuwa Mtanzania Muhimu anawajua, ndiyo Kawakaribisha Tanzania na anafaidika na Tajiri mwenye hiyo Taasisi ya Kiislamu nae pia akiwa ni Mwenzao Kiimani.
Nimemaliza.
Mmmh ila Jamaa Hafai kwa JamiiKashafukuzwa kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2534502
Dah wewe ni Bwabwa kweli sio kwa kujibu hiviUlishawahi kupakuliwa wee, hadi uone sio mchezo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wenzako wanafurahia na wana enjoy, maumivu unayasikia wee inahuuu???
Poleeeee babaaaa, relaaaaaaaaaxxxxx.
Ushoga na mashogaaaa vipo sanaaaaa.
Haturuhusiwi usifosi!
Hamna kitu kama hichoMunaruhusiwa mukiwa na njaa
Kwa ujumla Serikali imehalalisha mapenzi ya jinsia moja. tuacheni kulialia kwenye mitandao ni muda wakuchukua hatua.Sina mda wa kukujibu povuuu lakoooo. Hizi kelele za kwa keyboard tumeshazoea.
Muambie rais wako atamke hadharani kuwa "ushoga ni marufuku hapa nchini na ukikutwa na hatia hiyo adhabu ni hii na hii"
Hizo propaganda za majukwaani hazina tija yoyote
Nakuambatanisha na barua hii hapa chini isome kwa umakini, ukimaliza lia taratibu na ufute machozi, afu kunywa maji mengi poleeeeeee sanaaaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2534503
Mkuu tatizo Serikali yetu inaonyeshe imeruhusu ushoga kimya kimya.Kwema ,sina tabu yeyote hili ni jukwaa huru,tunashare mitazamo kwenye hoja,tunabishana kwa hoja! kila kitu kina pros and cons ,sasa unaangalia kwenye UGASHO/U-NGAPULILA je una faida gani kwenye jamii? Museven kasema ataruhusu ugasho/ungapu endapo akiwafungia ndani magasho na wakapata mtoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah umeishiwaa sasa, umetoka kwenye hoja ya serikali, umehamia kwenye Dini.Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kwa akili zako unawaamini hao Watu?? Wanacheza na akili za wananchi wao. Kuwa makinii.Mkuu Ruto na Museveni wameweka wazi sisi tunashindwa vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa keyboard warriors mie mbna hawanisumbui, nawapa makavu yao wakalilie huko njeKweli kabisa,kama wazinzi wanavyofanya uzinzi wao wakiwa huru ikiwemo huyo anayepinga ushoga,shida nini kama mashoga wakiamua kushogana wao kwa wao kwa raha zao?yeye anateseka na nini mashoga yakishogana?mbona hateseki na uzinzi wake?mana ushoga na uzinzi ni kitu kile kile matundu na vikojoleo ni vile vile tu wahuni wanateleza.
Kwanza wanao pinga ushoga wengi ni bisexuals, huwezi kuta straight akauzungumzia, kwan hata hana mda wa kuufatilia.Wengi ni wapuuzi tu wanaishi kwa mihemuko na hofu,eti ushoga ni kinyume na maadili maadili gani wakati hakuna hata mmoja mkamilifu wanasahau kuwa hakuna dhambi ndogo mbele za muumba.
Watu waache inafiki hao ambao wanajidai kupinga ushoga ndio kutwa wanaongoza na kusifia kula tigo za wanawake weo,nawakumbusha kinyeo ni kinyeo tu kiwe kwa demu ama man.