Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Haipo hiyo usipotoshe.Nchi za wenzetu hawa ndo wanaendelezwa na kupewa ajira ya kulinda mfumo
Fuatilia sio unakurupuka tuHaipo hiyo usipotoshe.
Mwanzoni mwa 2010 SAUT napo mfumo ulidukuliwa ada unayo takiwa kulipa mfa 1.3m unamlipa mdukuaji 500k ye ana ingiza taarifa kuwa umekamilisha.ila wahusika wote walifukuzwa.
Alichokuambia ndicho kinachofanyika vyuo vingi, hata chuoni kwetu washawahi kufukuzwa wanafunzi kwa mtindo huo.Fuatilia sio unakurupuka tu
SAUT ndio chuo cha nchi ya wenzetu?Haipo hiyo usipotoshe.
Mwanzoni mwa 2010 SAUT napo mfumo ulidukuliwa ada unayo takiwa kulipa mfa 1.3m unamlipa mdukuaji 500k ye ana ingiza taarifa kuwa umekamilisha.ila wahusika wote walifukuzwa.
Usijidanganye, hakuna nchi wanalea wahalifu. Ingekuwa hivyo basi majambazi wangepewa kazi ya kulinda benki.Nchi za wenzetu hawa ndo wanaendelezwa na kupewa ajira ya kulinda mfumo
Sasa umekamatwa na bado hutaki kulipa?View attachment 2634228
Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT).
Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya wanafunzi wote yafutwe. “Seneti ilikaa jana wale ambao wamekubali kulipa ada, kukiri na kuomba msamaha tumewasamehe,” amesema wakati wa mahojiano na waandishi wa habari. “Wale wachache waliokaidi kulipa wamefukuzwa.”
Habari leo
Naunga mkono hoja.Nchi za wenzetu hawa ndo wanaendelezwa na kupewa ajira ya kulinda mfumo
Nchi ganiNchi za wenzetu hawa ndo wanaendelezwa na kupewa ajira ya kulinda mfumo