Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada


Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT).

Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya wanafunzi wote yafutwe. “Seneti ilikaa jana wale ambao wamekubali kulipa ada, kukiri na kuomba msamaha tumewasamehe,” amesema wakati wa mahojiano na waandishi wa habari. “Wale wachache waliokaidi kulipa wamefukuzwa.”

Habari leo

Pia soma >
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada
Wamefaulu vitendo
 
Vijana wameiva sasa katika course yao ya IT.

Nashauri, Serikali iwachukue katika kutengeneza mifumo mipya ya ubunifu wa teknolojia mbalimbali na usalama. Watasaidia sana.
 
Back
Top Bottom