Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

Haipo hiyo usipotoshe.
Mwanzoni mwa 2010 SAUT napo mfumo ulidukuliwa ada unayo takiwa kulipa mfa 1.3m unamlipa mdukuaji 500k ye ana ingiza taarifa kuwa umekamilisha.ila wahusika wote walifukuzwa.
Saut hawakudukua mkuu,walikua wanatoa receipt fake akiwemo yule jamaa alogombea uspka pale Dodoma
 
Na mkiwafukuza huko halafu mkawaacha huku mtaani lazima tu wataendelea kutudukua na sisi mi nashauri waende jela kabisa
 

Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT).

Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya wanafunzi wote yafutwe. “Seneti ilikaa jana wale ambao wamekubali kulipa ada, kukiri na kuomba msamaha tumewasamehe,” amesema wakati wa mahojiano na waandishi wa habari. “Wale wachache waliokaidi kulipa wamefukuzwa.”

Habari leo

Pia soma >
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada
Jamii ya Tz na wizi! Hili taifa, sijui!!
 
Maana yake ni kuwa chuo Ina mifumo dhaifu Sana inayiweza kudukuliwa na mwanafunzi achilia mbali professional
 
Alichokuambia ndicho kinachofanyika vyuo vingi, hata chuoni kwetu washawahi kufukuzwa wanafunzi kwa mtindo huo.
Bali hamjamuelewa analomaanisha. Kama hawa wanafunzi wana uelewa wa kiasi hiki, wangetumiwa katika kuimarisha ulinzi wa mfumo wa malipo ili kuzuia wizi. Maana inaonekana mfumo umezidiwa maarifa.
 
WAMEFANYA KAZI NZURI JAPO WALIFANYA MAKOSA MADOGO LAKINI NAAMINI MARA NYINGINE VIJANA WAWE MAKINI
Siyo kweli wanafunzi 256 hawawezi wote kudukua mfumo. Kuna mmoja alidukua helafu hao wakawa wanamlipa awafojie taarifa zao za kwamba wamelipa.
 
Haipo hiyo usipotoshe.
Mwanzoni mwa 2010 SAUT napo mfumo ulidukuliwa ada unayo takiwa kulipa mfa 1.3m unamlipa mdukuaji 500k ye ana ingiza taarifa kuwa umekamilisha.ila wahusika wote walifukuzwa.
Duh! Jamaa hapo juu kasema nchi za wenzetu. Afu wewe unasema asipotoshe kwa kutoa mfano wa SAUT. Toa mfano wa nchi za wenzetu alizozungumzia yeye.
 
Alichokuambia ndicho kinachofanyika vyuo vingi, hata chuoni kwetu washawahi kufukuzwa wanafunzi kwa mtindo huo.
Muwe mnasoma mnaelewa kwanza basi kabla ya kuanza kukosoa. Jamaa alisema nchi za wenzetu akimaanisha nje ya Tanzania, ila ninyi mnakosoa kwa kutoa mifano ambayo haihusiani kabisa.
 
Back
Top Bottom