Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

Wizara ya Teknolojia na Maendeleo ya Ulipaji Ada vyuoni mpo hapa........

Hili nalo mkalitazame
 
Usijidanganye, hakuna nchi wanalea wahalifu. Ingekuwa hivyo basi majambazi wangepewa kazi ya kulinda benki.
Huko huko Marekani. Tapeli maarufu aligewa kazi ya kushauri mabenki na askari juu ya hundi bandia.

Soma kitabu chake kinaitwa Catch Me If You Can. Jamaa anaitwa Chris Abagnale
 
images (4).jpeg
 
Nchi za wenzetu hawa ndo wanaendelezwa na kupewa ajira ya kulinda mfumo

Ila hiyo inakuwa Kama ulichofanya ni exceptional lakini Kama ni kawaida unatumikia adhabu. Kama yule bwana mdogo wa Malaysia anaitwa the smiling hacker, marekani iliomba akatumikie adhabu kwao kwa lengo la kumtumia.

Adhabu ya kosa lazima utumikie kwanza kabla ya mengine. Kwa hivyo chuo kiko sahihi kuwafukuza.
 
Hawa wadukuzi ndo wanatakiwa kwenye enzi hizi za sayansi na teknolojia kwenye mambo ya ukachero
Msipotoshe.Utakuta hapo mdukuaji ni mmoja,halafu anawauzia fursa wanafunzi wengine.Hivyo wengi hapo wameshiriki wizi na kujinufaisha bila kujua hata huo udukuaji ulifanyikaje.
 
Kwanini wasiwape Distinction kwa Kazi nzuri ya IT (kuweza kudukua mfumo wa Taasisi ambayo ni so called inafundisha mfumo ambao unaonyesha jinsi ya kujikinga na mambo kama haya)...

Wawape Distinction for a Job well Done na sababu wameshikwa basi walipe na ikibidi hata walipe fine kwa kushikwa na fundisho kwa wengine wasijaribu - Ila kama ni kufukuzwa na Chuo kijifukuze

Ndio maana walioomba msamaha wamesamehewa. Ila ningejitahidi kuhack mfumo wa benki ionekane wamelipa, ingekuwa ngumu kuwakamata.
 
vijana wamefanya practical vzr maana kuna vulnerability nying kwenye taasisi zenye mifumo🙄
 
Back
Top Bottom