Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Wenzetu kina nani
Huko Afghanistan Taliban wanatandika bakora watu mtaani
 
waislamu wanaakili mno.. hakuna kubembelezena kinafki kama vyuo vya kigaratia kisa unalipa ada halafu mwisho wa siku tunaongeza kizazi cha mashoga na wasagaji. iko ndiyo chuo cha kusoma.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Majaliwa pia alitandika waalimu walevi enzi hizo.
 
Mleta mada mbona kichwa cha habari umesema uongo? Morogoro Tanzania hakuna chuo kikuu cha "Kiislaam". Hata hiyo barua ya wanafunzi inakusuta. Isome vizuri kisha omba moderators wabadili mada yako.

Chuo cha Waislam haimaanishi chuo cha "Kiislam".
Pale M.U.M msavu tanesco ndio kinachozungumziwa hapa usitutoe kwenye reli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…