Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?


Uhalisia ni kutafuta MKE mzuri, wa maumbile na kitabia.

Hayo maelezo mengine hayana maana yoyote na hutolewa na watu waliokata tamaa au waliokosa Wanawake Wazuri wa kuwaoa au wakuwa nao.

Hata Kwa wakulima huchukua Mbegu Bora kwaajili ya Kilimo.
Wafugaji halikadhalika.

Kwenye Ndoa pia Watu hutafuta sio tuu mapenzi Bali ni pamoja na ufahari,Mbegu Bora n.k.

Biblia na Quran zote zinatoa muongozo huohuo.

Hata kwenye Mila na desturi vivyohivyo. Hakuna mahali popote na viumbe wowote ambao hawataki Mwanamke mzuri. Hiyo haipo.

Na Kwa kukusaidia tuu Sifa ya Kwanza ya Mwanamke ni Uzuri, ukishasema Mwanamke hapo unazungumzia uzuri hasa uzuri WA maumbile. Sura nzuri, ngozi laini, umbo lenye mvuto, na Sauti tamu huyo ndio Mwanamke.

Maelezo mengine ni kujifariji
 
Umepiga kwenye mshono jomba,, binafsi mwanamke ambae anajifanya anaexposure ya mambo siwezi kuoa abadani. M/mungu kamuumba Mwanaume awe mtawala, sasa wanawake hawa wa mashule shule ptuuu.
Mtoto wako wa kike ataishia la saba? Tuanzie hapo kwanza
 
Nimelewa ila siwezi pita bila ya kuandika chochote hapa..

Kaa ukijua kwamba Chura ,shepu na sura ndiyo mwanamke mwenyewe , kazi ndiyo ile tuu ya kugegedana.
 
Mkuu kunywa maji kwanza utulize hasira
 
Umetema gold tupu mzee, uishi milele
 
Okay, mke mzuri ni yupi. Anyway huwezi ilazimisha nafsi.
 
Ni hatari.
 
Furaha ya nafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…